Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Narudi kama Mwananchi huru tarehe 27 Julai 2020, Serikali inipe Ulinzi. Kesi zangu 6 zina dhamana, sitakamatwa

Cyprian Musiba kaandaa Corona virus kaihifadhi maabala siku akirejea akiwa jela wapandikize watu jela wampake corona augue afe wasingizie alikuja na Corona toka ulaya.
Hii taarifa mmeambiwa na Mnyika au Mbowe?
 
Habari njema azungumzie malipo ya usaliti waliopokea wenzetu wsliounga juhudi toka upinzani
 
Tundu Lissu aliondoka nchini kwake katika hali mbaya na taifa likihofia maisha yake.

Anarudi nyumbani akiwa mwenye afya tele na furaha nyingi.

Ni haki ya taifa hili kufurahi na kumkaribisha kwa furaha.

Hana sababu yoyote ya kuwa na hofu na yeyote; anayepashwa kuwa na hofu ni yule aliyetaka kuondoa maisha yake.

Tundu Lissu atarudi nyumbani mchana kweupe na hana sababu hata ndogo ya kujificchaficha kama mwizi.

Karibu Nyumbani mTanzania mwenzetu.
 
Cyprian Musiba kaandaa Corona virus kaihifadhi maabala siku akirejea akiwa jela wapandikize watu jela wampake corona augue afe wasingizie alikuja na Corona toka ulaya.
Mkuu 'minyoo'
Shaba 32 ziliposhindwa, hivyo vicorona vitaweza?

Hao waliovibeba wataangamia, lakini Lissu atabaki akitabasamu!

'Observation': mbona kuna wachangiaji wengi hapa ambao hawajawahi onekana popote humu jamvini, Tundu Lissu kaundiwa genge zima?

Nimehesabu toka huko juu hadi hapa mwisho. Hiki ndicho kipimo cha hofu walichonacho juu ya Lissu?
 
Hivi kwanini wanaccm hawataki Lisu aje?? Sisi wenye mtu wetu tunamhitaji aje mbona kama mnatia tia vikwazo na nuksi asije mnaogopa nini? Kama kupigwa tena risasi sisi ndio tungeogopa ila sio nyie.
Hakuna mwana CCM asietaka Lissu aje. Kila mtanzania anataka Lissu arejee tena akiambatana na yule Dereva wake ili watu wajue mbivu na mbichi kuhusu kule kushambuliwa kwake. Tatizo ni hizo mbwembwe zake za kujifanya anahutubia watu vitu visivyokua na kichwa wala mguu, halafu mwisho wa siku harejei. Lissu anajua fika akirudi ndo hatoki tena mpaka kesi zake ziishe.
 
M/Mkiti wa CHADEMA Taifa(B),Mhe.Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on twitter.

View attachment 1512217
Angesubiri chama kubwa wamalize shughuli yao vinginevyo atapotezwa maana hatapata airtime
 
Hivi hujisikii aibu kusema anazungumza na watanzania? Kama Nani kwamfano,sema atazungumza na wanachama wa Sacco's ya mtaa wa ufipa (misukule ya chadema)
KIKOBA Cha LUMUMBA mmeanza na SHERANI lazima mmalize na SHETANI, mtaendelea kufuga chatu Mpaka milele.
 
Hakuna mwana CCM asietaka Lissu aje. Kila mtanzania anataka Lissu arejee tena akiambatana na yule Dereva wake ili watu wajue mbivu na mbichi kuhusu kule kushambuliwa kwake. Tatizo ni hizo mbwembwe zake za kujifanya anahutubia watu vitu visivyokua na kichwa wala mguu, halafu mwisho wa siku harejei. Lissu anajua fika akirudi ndo hatoki tena mpaka kesi zake ziishe.
kumbe ndio WISHES zako? ,Si ungesema mapema kuliko kujaza seva buree.
 
Sawa sawa anakuja kuleta mapinduzi ya kweli ndani ya chadema, Duh ngojea tuone majerehu na ufufuo wa chadema. Taifa angojee bado chadema haina ubavu wa kutawala nchi
 
Hivi hujisikii aibu kusema anazungumza na watanzania? Kama Nani kwamfano,sema atazungumza na wanachama wa Sacco's ya mtaa wa ufipa (misukule ya chadema)
Atazungumza na watanzania ukiwemo wewe maana nilazima uje usikilize atakachokiongea. Na huthubutu kutokusikiliza japo baadae lakini utasikiliza jipangeni na hoja za risasi maana ndizo mnazoweza kujibia.
 
Kumsikiliza lissu, hauko serious, watanzania wako busy nankira za maoni za chama tawala. Pole
Kwa faida gani kwen ye hicho chama chá makanisa.

Hoja zenu subir aje aende segerea.

Lakin points za kinywani za kunshinda hamna.
 
Amekuwa nani mpaka tujulishwe?
Wala sijui anakuja kutupa ugali au maziwa?
 
Hakuna mwana CCM asietaka Lissu aje. Kila mtanzania anataka Lissu arejee tena akiambatana na yule Dereva wake ili watu wajue mbivu na mbichi kuhusu kule kushambuliwa kwake. Tatizo ni hizo mbwembwe zake za kujifanya anahutubia watu vitu visivyokua na kichwa wala mguu, halafu mwisho wa siku harejei. Lissu anajua fika akirudi ndo hatoki tena mpaka kesi zake ziishe.
Hahhaa naona mnapinga pinga ujio wa Lissu.
 
Kwa faida gani kwen ye hicho chama chá makanisa.

Hoja zenu subir aje aende segerea.

Lakin points za kinywani za kunshinda hamna.
Kila wanachosema kuhusu Lissu ni Segerea tu . Hivi hawa huwa hawana hija zingine zaidi ya kufunga watu kwa kubambikia kesi, kuteka hadi kuua??
 
M/Mkiti wa CHADEMA Taifa(B),Mhe.Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on twitter.

View attachment 1512217
Welcome back home legend
 
Back
Top Bottom