minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Asiye na aibu ni yule anayewabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzaniWamewahi kuwa na aibu hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asiye na aibu ni yule anayewabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzaniWamewahi kuwa na aibu hawa
Haha yanakuhusu sana ndio mana leo umepaniki.Matokeo ya huko hayanihusu!
Hii taarifa mmeambiwa na Mnyika au Mbowe?Cyprian Musiba kaandaa Corona virus kaihifadhi maabala siku akirejea akiwa jela wapandikize watu jela wampake corona augue afe wasingizie alikuja na Corona toka ulaya.
Mkuu 'minyoo'Cyprian Musiba kaandaa Corona virus kaihifadhi maabala siku akirejea akiwa jela wapandikize watu jela wampake corona augue afe wasingizie alikuja na Corona toka ulaya.
Hakuna mwana CCM asietaka Lissu aje. Kila mtanzania anataka Lissu arejee tena akiambatana na yule Dereva wake ili watu wajue mbivu na mbichi kuhusu kule kushambuliwa kwake. Tatizo ni hizo mbwembwe zake za kujifanya anahutubia watu vitu visivyokua na kichwa wala mguu, halafu mwisho wa siku harejei. Lissu anajua fika akirudi ndo hatoki tena mpaka kesi zake ziishe.Hivi kwanini wanaccm hawataki Lisu aje?? Sisi wenye mtu wetu tunamhitaji aje mbona kama mnatia tia vikwazo na nuksi asije mnaogopa nini? Kama kupigwa tena risasi sisi ndio tungeogopa ila sio nyie.
Angesubiri chama kubwa wamalize shughuli yao vinginevyo atapotezwa maana hatapata airtimeM/Mkiti wa CHADEMA Taifa(B),Mhe.Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on twitter.
View attachment 1512217
KIKOBA Cha LUMUMBA mmeanza na SHERANI lazima mmalize na SHETANI, mtaendelea kufuga chatu Mpaka milele.Hivi hujisikii aibu kusema anazungumza na watanzania? Kama Nani kwamfano,sema atazungumza na wanachama wa Sacco's ya mtaa wa ufipa (misukule ya chadema)
kumbe ndio WISHES zako? ,Si ungesema mapema kuliko kujaza seva buree.Hakuna mwana CCM asietaka Lissu aje. Kila mtanzania anataka Lissu arejee tena akiambatana na yule Dereva wake ili watu wajue mbivu na mbichi kuhusu kule kushambuliwa kwake. Tatizo ni hizo mbwembwe zake za kujifanya anahutubia watu vitu visivyokua na kichwa wala mguu, halafu mwisho wa siku harejei. Lissu anajua fika akirudi ndo hatoki tena mpaka kesi zake ziishe.
Atazungumza na watanzania ukiwemo wewe maana nilazima uje usikilize atakachokiongea. Na huthubutu kutokusikiliza japo baadae lakini utasikiliza jipangeni na hoja za risasi maana ndizo mnazoweza kujibia.Hivi hujisikii aibu kusema anazungumza na watanzania? Kama Nani kwamfano,sema atazungumza na wanachama wa Sacco's ya mtaa wa ufipa (misukule ya chadema)
Hizo ndizo hoja zenu.Kelele za nini, si arudi tu bongo? Tunamsubilia terminal 3 aje ajibu mashtaka kwa nini aliwatoroka wadhamini wake! Anazurula na kuswampa kwa mabeberu kuichafua nchi!
Kwa faida gani kwen ye hicho chama chá makanisa.Kumsikiliza lissu, hauko serious, watanzania wako busy nankira za maoni za chama tawala. Pole
Hahhaa naona mnapinga pinga ujio wa Lissu.Hakuna mwana CCM asietaka Lissu aje. Kila mtanzania anataka Lissu arejee tena akiambatana na yule Dereva wake ili watu wajue mbivu na mbichi kuhusu kule kushambuliwa kwake. Tatizo ni hizo mbwembwe zake za kujifanya anahutubia watu vitu visivyokua na kichwa wala mguu, halafu mwisho wa siku harejei. Lissu anajua fika akirudi ndo hatoki tena mpaka kesi zake ziishe.
Kila wanachosema kuhusu Lissu ni Segerea tu . Hivi hawa huwa hawana hija zingine zaidi ya kufunga watu kwa kubambikia kesi, kuteka hadi kuua??Kwa faida gani kwen ye hicho chama chá makanisa.
Hoja zenu subir aje aende segerea.
Lakin points za kinywani za kunshinda hamna.
Welcome back home legendM/Mkiti wa CHADEMA Taifa(B),Mhe.Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on twitter.
View attachment 1512217