Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lissu The Greatest
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa ili mtu anayepaswa kuzungumza na watanzania anapaswa kwanza kuwa nani?na je hao watu uliowataja ni watu wa taifa gani?Hivi hujisikii aibu kusema anazungumza na watanzania? Kama Nani kwamfano, sema atazungumza na wanachama wa Sacco's ya mtaa wa ufipa
M/Mkiti wa CHADEMA Taifa(B), Mhe. Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on twitter.
SHUKRANI
Michango, maombi na sala zenu ndiyo zilizosababisa leo nazungumza habari za kurudi nyumbani.
Nimekaa Ubelgiji kwa miaka miwili na nusu. Niwashukuru majirani na wananchi wenzangu wa mji wa kwa kunihifadhi kwa miaka hii miwili kwa mapenzi na upendo mkubwa, kwa kuniwezesha kujiona sehemu ya maisha yao kwa kipindi hiki cha miaka miwili na nusu.
Nikisema nashukuru ni kwa niaba ya familia yangu, mke wangu watoto wangu na ndugu zangu popote walipo.
USALAMA WANGU
Waliokuja kuniua hiyo siku na waliowatuma au waliowaelekeza bado wanaitwa watu wasiojulikana. Maana yake ni kwamba hao watu bado wapo, na kwasababu bado wapo na hawajasema kama lengo lao la kuniua wameliacha, bado natafakari juu ya maisha yangu. Kwahiyo narudi nchini kwangu katika mazingira ambayo hatari dhidi yangu bado haijaondoka, lakini narudi tu, ni nyumbani kwetu – inabidi nirudi.
Katika hii miezi 6 iliyopita, Uongozi wangu wa Chama, Mwenyekiti wangu wa Taifa Mh. Mbowe ameandika barua kwa vyombo vya ulinzi na usalama wan nchi yetu ili kuomba nipatiwe ulinzi nitakaporudi nyumbani. Hadi sasa tunasubiri majibu ya wakuu wa vyombo vyetu vya usalama ambao ndiyo wana jukumu la kuhakiksha nipo salama nitakaporudi nyumbani.
Sio lisu tu,hata wewe.Dunia haijawai kusimama hata kabla ya AdamuTangu aondoke sasa ni miaka ni miaka mitatu, Tanzania haijawahi kusimama Wala kuwa na upungufu wowote wa rasilimali watu,
Na zaidi Sana Tanzania bila yeyote, bila Lisu, bila CCM Wala Chadema haitasimama
Lisu, Lisu, Lisu, Lisu, ndo Nani?
Usalama wa Lissu kikatiba unahakikishwa na serikali, sio chama chake! Naamini serikali itahakikisha anakuwa salamaHiyo safari anatokea mbinguni.....maana story nyingi mwisho wa siku atasema anaahirisha kwa sababu cdf hajamuhakikishia usalama wake.
Lisu ni mtata mtata sana.
Mtu asiye na akili aliwahi kuelewa?Ana faida gani kila siku anazungumza anachozungumza hakieleweki!
Wajinga hawawezi kutuhubutu kumsikiliza. Sasa mtu kama wewe kiwango chako ni cha kumsikiliza KibajajYaani mtu mwenye akili zako timamu utenge muda kumsikiza huyo acha masikhara[emoji23]
M/Mkiti wa CHADEMA Taifa(B), Mhe. Tundu Lissu, Julai 21, 2020 saa 7.00 mchana atazungumza na Watanzania, atakapohutubia taifa kuhusu safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi takriban miaka 3 kwa matibabu, tangu aliponusurika jaribio la mauaji, Sep' 7, 2017, Dodoma-Tumaini Makene on twitter.
SHUKRANI
Michango, maombi na sala zenu ndiyo zilizosababisa leo nazungumza habari za kurudi nyumbani.
Nimekaa Ubelgiji kwa miaka miwili na nusu. Niwashukuru majirani na wananchi wenzangu wa mji wa kwa kunihifadhi kwa miaka hii miwili kwa mapenzi na upendo mkubwa, kwa kuniwezesha kujiona sehemu ya maisha yao kwa kipindi hiki cha miaka miwili na nusu.
Nikisema nashukuru ni kwa niaba ya familia yangu, mke wangu watoto wangu na ndugu zangu popote walipo.
USALAMA WANGU
Waliokuja kuniua hiyo siku na waliowatuma au waliowaelekeza bado wanaitwa watu wasiojulikana. Maana yake ni kwamba hao watu bado wapo, na kwasababu bado wapo na hawajasema kama lengo lao la kuniua wameliacha, bado natafakari juu ya maisha yangu. Kwahiyo narudi nchini kwangu katika mazingira ambayo hatari dhidi yangu bado haijaondoka, lakini narudi tu, ni nyumbani kwetu – inabidi nirudi.
Katika hii miezi 6 iliyopita, Uongozi wangu wa Chama, Mwenyekiti wangu wa Taifa Mh. Mbowe ameandika barua kwa vyombo vya ulinzi na usalama wan nchi yetu ili kuomba nipatiwe ulinzi nitakaporudi nyumbani. Hadi sasa tunasubiri majibu ya wakuu wa vyombo vyetu vya usalama ambao ndiyo wana jukumu la kuhakiksha nipo salama nitakaporudi nyumbani.
Bila shaka atakuwa anaweka wazi ratiba kamili ya ujio wake kuanzia muda wa kuwasili na ndege atayosafiri nayo, bila kusahau alivyojipanga kiusalama ingawa hawezi kuweka wazi kila kitu.
Nafikiri Lumumba kesho kutakuwa hamna kazi, na hata Magogozi zitasimama kwa muda.
Njoo kipenzi cha watanzania, Tanzania inakusubiri kwa hamu.
Hivi hujisikii aibu kusema anazungumza na watanzania? Kama Nani kwamfano, sema atazungumza na wanachama wa Sacco's ya mtaa wa ufipa
Hiyo safari anatokea mbinguni.....maana story nyingi mwisho wa siku atasema anaahirisha kwa sababu cdf hajamuhakikishia usalama wake.
Lisu ni mtata mtata sana.