Mkuu upo sahihi, tatizo linalokuja ni je TL atapitishwa na chama chake!! Kama anakumbuka majuzi hapa EL alinukuliwa akisema atagombea 2020. Sioni namna ambayo Chadema inaweza kumpitisha TL na kumwacha EL.
khaaaaa haya sasa majungu ya like, hiyo TLS tangu kakabidhiwa ina muda gan? mbna huku watumish wanalalamika na kuoandishwa madaraja na nyongeza za mishahara bt u don't dare kusema mkuu nchi imemshinda?..speak facts not blablabla na kawaida ni kwamba kila mwanasiasa wa upinzan anayekuwa tishio kwa sisiemu huwa mna mu under grade haonekan hafai...NO ONE LYK TUNDULISU in this country at this tym of SINTOFAHAMU.Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.
kwa kweli hahahahaaaa...Mkuu Pascal
Nakushauri Kwa Upole Na Upendo Kwa Hili Bandiko Andaa Wadhamini Na Mali Zisizohamishika Maana Duh!!!
Kazi Kubwa Sana
watu gani walogundua mzee maana na mm pia n mtu na ntaipa chademaNDOTO NJEMA WEWE ULIYELALA USINGIZI MZITO. CHADEMA HAIWEZI KUSHINDA URAIS NA 2020 HAWAPATI HATA 3,000,000 MAANA HUYO LOWASSA WATU WAMESHAGUNDUA ASINGEFANYA LA MAANA.
KURA ITAPOTEA BUREEEEE. HAWASHINDI NG'O!!!watu gani walogundua mzee maana na mm pia n mtu na ntaipa chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
haina noma tutaipa hivyohivyo kwan shida nn bro?KURA ITAPOTEA BUREEEEE. HAWASHINDI NG'O!!!
SHIDA NI KWAMBA MTASHINDWA VIBAYA
hata ikiwa moja tu ya kwangu ntaipa mzee mbna NY mlishashindwa Mara kibao mkachakachua?...sijiung na shetan hata kama siwez kupambana naeSHIDA NI KWAMBA MTASHINDWA VIBAYA
Wakigoma atawanyima pesaa haaaaaaaaa cdm inanifurahishagaa hahahaaaaahaaaa
Viloba hamna sasa kaka mtapigiwa kura na nani?? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kama mnajiamini muwekeni si tupo kamiri gado na Jpm chums cha puaComments zinaashiria jinsi watu wana hofu dhidi ya lisu akisimamishwa na sizonje.kuna mchakamchaka mkali unakuja 2020 nyie toeni macho tu
Shida Mazingira ya uchaguzi yapo huru??Kumbuka Lissu anahitajika sana bungeni hii ya urais siyo ya kuipigia kwanja maana jamaa zetu kwa bao la mkono huwawezi
Viloba hamna sasa kaka mtapigiwa kura na nani?? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kama mnajiamini muwekeni si tupo kamiri gado na Jpm chums cha pua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hawajiulizi kwa nn madiwani wao wanaamia Ccm kwa wingi na kasi kubwaa badala ya kutatua hilo tatizo wanaota kuchukua Urais hahahaha cdm mnanifurahisha kweli mnasafari ya matumaini sio ya uhakika mi nimepanda gari la uhakika la JPM HUKU RAHAAA TUNDOTO NJEMA WEWE ULIYELALA USINGIZI MZITO. CHADEMA HAIWEZI KUSHINDA URAIS NA 2020 HAWAPATI HATA 3,000,000 MAANA HUYO LOWASSA WATU WAMESHAGUNDUA ASINGEFANYA LA MAANA.
Ule utukufu aliopewa Yesu kristo mnaotaka sisi wengine tumpe Magufuli hamtaupata hata mkitumia vifaru vyote vya nchi , sana mnaweza kuleta vita .
Hivi, kama Magufuli aliweza kuwa rais ws Tsnzania, pamoja na kutokuwa na sifa hata moja, je, kuna mtu atashindwa kuwa rais wa nchi hii? Mtu mshamba kama yule??? Hata ABC za utawala na uongozi hana...Nyongeza ya mwaka ya mshahara kwa watumishi wa umma iko kisheria lakini huyu mtukufu wetu ambaye pia ni Dikteta ametoa agizo watumishi wasipewe hiyo nyongeza mpaka itakapofikia 2020 ili waweze kumchagua yeye. Halafu ndo CCM wanasema anazingatia utawala wa sheria.
Mikutano mmeruhusiwa majimboni kwenu , sasa hivi sio wakati wa siasa ni muda wa kazi tu.mmekosa hoja nyaaambaf zenu.Kamuuliza huyo chuma cha pua kwanini anaogopa kuwapa uhuru wapinzani kufanya mikutano akikupa jibu ndiyo uje na hizo blah blah zako