Mikutano mmeruhusiwa majimboni kwenu , sasa hivi sio wakati wa siasa ni muda wa kazi tu.mmekosa hoja nyaaambaf zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwanini mnajificha kwenye kwapa la polisi ?NDOTO NJEMA WEWE ULIYELALA USINGIZI MZITO. CHADEMA HAIWEZI KUSHINDA URAIS NA 2020 HAWAPATI HATA 3,000,000 MAANA HUYO LOWASSA WATU WAMESHAGUNDUA ASINGEFANYA LA MAANA.
Watakaoing'oa ccm ni wananchi , sisi tunaonyesha njia tu , na nakuhakikishia kwamba ccm itang'olewa kwa UDI ba UVUMBA , jiandae kisaikolojia .I hope madhara ya vita unayajua, and this will never happen in Tanzania. na kuprove hilo anza kuandamana kwenye awamu hii halafu uone kitakachotokea.
Upinzani mkiendelea kumfuata Lissu, msahau habari ya kuiondoa CCM madarakani.
Ha ha ha ha.. Lissu ni mzuri sana, ana akili sana, ni mpambanaji sana, na anaijua sheria sana.. Kwa kifupi yuko vizuri sana..
Ila kwa uraisi kwa maoni yangu hapana..
Watakaoing'oa ccm ni wananchi , sisi tunaonyesha njia tu , na nakuhakikishia kwamba ccm itang'olewa kwa UDI ba UVUMBA , jiandae kisaikolojia .
akanana FirstLady1 usipoteze kura yako bure mpigie Magufuli 2020 maana ndiye Rais mteule japo uchaguzi bado...Mbona Trump kawa Rais na watu walikuwa hawamtaki ?🙂
wakimuweka Lissu mie nitampigia kura kiroho safi
Wewe ni hasara kwa taifaHahahahaha,asimame tu,yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.
akanana FirstLady1 usipoteze kura yako bure mpigie Magufuli 2020 maana ndiye Rais mteule japo uchaguzi bado...
Wote ni wagonjwa hao, tofauti tu mwingine yupo wodini na mwingine yupo mtaaniPaskali, si vema kumlinganisha mtu ambaye ana matatizo ya akili na Dkt Magufuli. Lisu ana matatizo yake binafsi kiakili. ACCACIA wamemkomalia anatafuta kiki pahala pa kutokea