Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Ninakukumbusha "ndugu yangu - kama kuna mtu au rafiki akija kuomba ushauri kwako tena kaongozana na mkewe, nawe na mkeo mkakaa taratiiibu ukamshauri- halafu ikatokea ushauri wako haukufuatwa wakaenda wakafanya wanayojua wao". Ikija kitokea tena sikunyingine wanataka ushauri. Jeee utakuwa tayari kuwashauri ??? Kwa mtizamo huo mimi naona *mawazo yangu* kwenye sanduku la kura huwa hayashindi, nimeamua kutokupiga kura asilani pamoja na wanangu, na wanaonizunguka, nimewafundisha hivyo. Labda endapo tuu kama patakuwa na *tume huru kabisa*
 
Back
Top Bottom