Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Hapana siyo consistent, alitunga list ya shame na kumkabidhi Dr Slaa kisha kwa pamoja wakatuaminisha kuna watanzania ni mafisadi. Lakini baadaye wakawasafisha mafisadi hao bila maelezo na kuwapa nafasi za kuongoza harakati zao za kupora madaraka kwa hila.Pascal,
Kama kuna jambo linahitaji uzalendo kwa Tz ni hili la Tundu Lissu kuwa raisi wa Tz,
1. Amekuwa consistent all along
2. Anapigania radical reforms
3. Anapenda haki, just society
4. Ana uwezo wa kujieleza
5. Ana shule ya kutosha
I'm happy you have joined this initiative, I encourage other like minded people to come up in support of Tundu Lissu for presidency of Tz come 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
TL hafai hata kidogo kuwa Rais wa nchi kwa sababu: -
(1)Hana staha
(2)Ni mropokaji
(3)Hajui kuongea kwa ustaarabu, yaani ni mtu wa MATUSI, KEJELI nk.
(4)Ana elements za UDINI, UKABILA na UKANDA.
(5)Yeye ama ni MUONGO au TAPELI.
Kwa sababu alituaminisha kwa nguvu zote kuwa EL ni fisadi hatimaye EL alipohamia kwao akaonekana kama Almasi.
Kwa hiyo mtu mwenye sifa mbovu kama hizo hafai hata kidogo kuwa Rais wa nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uraisi anaweza pewa yoyote Tanzania, alimradi umiliki mfumo,, hicho ndicho kitakachomnyima... Uthubutu anao na hoja anazijua pasi na shaka na anasimamia utawala wa sheria.. Mwenzie.....mmmhHa ha ha ha.. Lissu ni mzuri sana, ana akili sana, ni mpambanaji sana, na anaijua sheria sana.. Kwa kifupi yuko vizuri sana..
Ila kwa uraisi kwa maoni yangu hapana..
Hivi ni kwa nini jamaa anamuogopa Tundu Lissu sana?Kuna kitu nikipata muda nitakiandika hapa hasa juu ya kwanini Magufuli is too much afraid of upinzani. Nimeshapata ushahidi usio shaka juu ya 2015 and what Magufuli plans for 2020....
Sie wengine wasemea pembeni ila Lissu anammaliza Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi niliwaza hiki kitu, kuna uwezekano akateuliwa kuwa mgomea urais!! Angalia viashiria...Wanabodi,
Lakini kwa mwenendo na matamshi ya Tundu Lissu ya hivi karibuni kumhusu Magufuli, kwa maoni yangu, kwa hapa tulipo, ukimuondoa Zitto ambaye he looks compromised, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani aliyeonyesha uwezo wa kumkabili John Pombe Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2020 na Magufuli akapata joto la Uchaguzi.
Kwa jinsi nilivyomsikia Tundu Lissu na namna anavyoongea, then huyu Tundu Lissu ni typical Magufuli type tena yeye ni zaidi ya Magufuli.
Hivyo kwa vile Watanzania huwa hawachagui sera wala hawachagui vyama bali huchagua watu, kama, Magufuli huyu huyu jinsi hii hii alivyo ameweza kuchaguliwa kihalali na kumshinda Edward Lowassa, then you cannot tell about Watanzania huwa wanachagua nini, hivyo Tundu Lissu ambaye ni zaidi ya Magufuli, akisimama na Magufuli, you can never tell what will happen!, Magufuli naweza akaachwa mbali sana! , ila litabaki swali moja tuu ndogo, with reference ya kilichotokea Zanzibar, hata huku bara, jee akishinda atapewa?.
NB. Sijasema Lissu ni zaidi ya Magufuli kwenye nini, na nawaomba sana msiniulize!.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
Muulize mleta mada!Kwa hiyo unataka kutuambia sisi watanzania kuwa Rais wetu anaropokaga?
Natamani kusema kitu hapo lakini...ngoja ninywe maji mengi kwanza ili wapate mkojo wa kutosha.Hahahahaha,asimame tu,yaani CCM inashinda bila jasho.Huyo Lissu hana personality ya kumfanya awe Rais.