Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

[HASHTAG]#Mkuu[/HASHTAG] Pasco. Kwa udadisi Mdogo, Wanasheria sio material katika kuongoza watu. Ni sawa na wakemia. Kundi lingine ni wahasibu. Makundi matatu haya yana mapungufu sana katika utoaji maamuzi.
Kuongoza watu ni zaidi ya mambo mengi ,maono ,hekima,busara, uvumilivu, machale na imani ktk Mungu!
Economist, Marketing practitioners, Waalimu ( wa sanaa subjects) Sociologists wanaweza kuwa viongozi wazuri wakiandaliwa.
 
Lissu ni mwanaharakati sio presidential material...... natamani aichachafye serikali hii isiyopendwa kukosolewa mapaka inyooke nchi inahitaji watu kama wakina Lissu ili iendeleee
 
akipitishwa chadema atakuwa rais!!!


ila hawezi kamwe kupitishwa
Sentence ya kwanza iko makini ila ya pili kwenye neno 'kamwe' unapotoka. CDM supported;
1. NCCR in 1995
2. CUF in 2000
3. Mbowe in 2005
4. Dr Slaa in 2010
5. Lowasa in 2015

Given trend above what made you reach conclusion of 'KAMWE'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pascal
Nakushauri Kwa Upole Na Upendo Kwa Hili Bandiko Andaa Wadhamini Na Mali Zisizohamishika Maana Duh!!!

Kazi Kubwa Sana
Mkuu heshima kwako kwa kuliona Hilo.
Nakwakikishia Pascal safari hii kanasa kwenye tope nene, hachomoki.
Mbaya zaidi mkulu anamfahamu vyema na nikwakikishie kuwa mpaka mda huu vijana washapewa assignment na mashitaka juu ya kosa la kumfanyia mtu kampeni kabla ya tume kutangaza na kwamujibu wa kifungu cha sheria ambacho Pascal atakikuta Mahakamani.
 
Kwa mtazamo wangu hakuna wa kusimama na Magufuli sio nchi hii tu hata mkatafute huko nje ya nchi, dakika sifuri tu anakutoa nje.
 
Paskali,
Wewe ni mwandishi nguli kwa wakati wetu huu. Ni nani aliyekutuma kuandika hiki unachoandika? Ni jibu la nani ambalo ukilipata utakuwa umepata majibu sahihi? Na huyo atakayekuwa makuridhisha kwa majibu yake una uhakika gani kuhusu ushawishi wake huko chadema?

Kwanini chadema ambacho umeshaona hakina muelekeo na sasa unataka kumsample Lisu out of the party? Unafahamu ni kwanini upinzani unazuiwa kufanya mikutano ya kisiasa wanaambiwa ni mpaka 2020? Wewe ni mwandishi wa habari, je ulimsikia Mh. Lowassa akiongea na mwandishi wa Kenya na jibu alilompa alipoulizwa endapo atagombea tena uraisi?

Kwanini umekuja na huu mtazamo mwingine? (labda umekuwa mjanja kuelewa kinachoendelea). Hivi wewe unaamini kuwa haya yanayotokea na kamatakamat zinaoendelea ziana uhusiano wowote na kuboresha maisha ya wananchi wa hali ya chini au wananchi kwa ujumla kama inavyoaminishwa? Inasikitisha kuwa vita ya uraisi imeanza mapema mno kuliko ilivyo kawaida.

Unajua tatizo lake ni nini? Ni inferiority complex. Hii inferiority inatoka wapi? Kama ulichaguliwa kwa kura nyingi kiasi cha kuwa raisi, hofu ya nini? Kama unayoyafanya ni ya haki na kwa nia njema, hofu ya nini? Paskali, andiko lako halina nia nyingine yoyote zaidi ya kutaka kupandikiza ugomvi ndani ya CHADEMA. Kama unamuamini Mungu, nakusihi uache!! Kama Lowassa 'mgonjwa', 'fisadi mchafu' 'asiyeweza kutembea' anawafanya msilale usiku na mchana, hebu tusubiri March 2020.

Ha ha ha ha haaa, siasa ni mchezo hauhitaji hasira kaka. Tufanye kazi tuliyowaahidi wananchi. Yale tunayoatenda ndiyo mtaji wetu 2020, sasa kama maumivu yakiwa mengi vifuani mwa watu kuliko hayo 'mazuri' unayoamini ulitenda, basi amini nakuambia, usiku mmoja wa kuamkia kupiga kura huwa watosha sana kubadili upepo wa mpiga kura alnayejitambua. Sembuse mwezi mmoja wa kampeni?
 
Ili Tuendelee Tunapaswa Kuwa Na Rais Mwanasheria, mfano Mzuri Kipindi Cha Sita Bunge Lilikuwa Nzuri Nayenye Hadhi, angalia Kwa Huyu Wasasa Bunge Limekuwa Ya Hovyo Sana
 
Pascal,
Kama kuna jambo linahitaji uzalendo kwa Tz ni hili la Tundu Lissu kuwa raisi wa Tz,
1. Amekuwa consistent all along
2. Anapigania radical reforms
3. Anapenda haki, just society
4. Ana uwezo wa kujieleza
5. Ana shule ya kutosha
I'm happy you have joined this initiative, I encourage other like minded people to come up in support of Tundu Lissu for presidency of Tz come 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Double agentive Job pays but it has up to 99.99999% risk of loosing everything.
=====
Umakini wa accuracy ya 0.0000001 % unatakiwa sana katika utekelezaji wa kazi hii.
 
Pascal, Tundu akigombea uraisi ni ngumu kupita kwa sasa, hapo agombee tu huo huo ubunge ila tu wapinzani wakazane kupata viti kwa wingi bungeni, akigombea uraisi atakosa na bunge halitaweza kuwa chachu kama lilivyo kwa sasa
 
Ofcoz lisu yupo vizuri sana,ila sioni sababu ya msingi ya kupunguza wabunge wa upinzani wa kujenga hoja bungeni..maana Lisu akigombea uraisi means ubunge anaacha.na uhakika wa upinzani kuingia ikulu kwa miaka yetu hii ni 0% hata kama tukishinda hatuwezi kukabidhiwa nchi.so sio kama itakuwa sahihi kupunguza mbunge kwa ushindani ulio dhahili hatuwezi kupewa ubingwa hata kama tumeshinda.
 
TL hafai hata kidogo kuwa Rais wa nchi kwa sababu: -
(1)Hana staha
(2)Ni mropokaji
(3)Hajui kuongea kwa ustaarabu, yaani ni mtu wa MATUSI, KEJELI nk.
(4)Ana elements za UDINI, UKABILA na UKANDA.
(5)Yeye ama ni MUONGO au TAPELI.
Kwa sababu alituaminisha kwa nguvu zote kuwa EL ni fisadi hatimaye EL alipohamia kwao akaonekana kama Almasi.
Kwa hiyo mtu mwenye sifa mbovu kama hizo hafai hata kidogo kuwa Rais wa nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ujinger hauwezi kuisha ikiwa kuna mtu anawaza kama unavyowaza wewe... unawaza kama mtoto wa chekechea kabisa na hujui hata unachoongea wafuatao walikuwa Marais wa Marekani kati ya wenye ushawishi na kuheshimika ambao walikuwa ni walimu ukiacha wengine sijakutajia
1.John Adams
2.Grover Cleveland
3.Lyndon B. Johnson

Na huwezi kuwa na akili timamu ukafikiria TL anaweza kuwa rais wa nchi hii.. kwa akili zako kuna siku utasema hata Lusinde au Kibajaji anaweza kuwa rais...watanzania wenye akili wanakusoma wanakuoa kiazi sana.



Umeongea ukweli Mchungu ambao chama Chetu Pendwa sana CCM hakitaki kuusikia.Ukiniuliza nitasema hivi,kama siyo Lissu basi 2020 tunatakiwa tumeweke RAIS ambaye ni purely mwanasheria,siyo mwalimu wa chekechea wala wa secondary tunahitaji mwansheria.

Ukiangalia nchi nyingi duniani zimeendelea kwa kuwa na Rais mwanasheria,tukiangalia Zimbabwe first Lady wa enzi zile alikuwa Mwanasheria na alimsaidia sana Mugabe kuiweka Zimbabwe kwenye mstari,alipokufa Mama yule na Mzee kuchukua chicken & Chips,uchumi wa Zimbabwe ulidondoka kama mvua ya mawe.

Angalia Clinton na Obama wote ni wanasheria ona walivyojenga Uchumi wa Marekani,na leo muone Trump anachofanya kutwa kucha kugombana na wanaomkosoa,hana tofauti na Baba J.

Kama tungekuwa na Tume huru hakika TL fits for presidency.
 
Back
Top Bottom