Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Tundu lissu naona amekaa kisheria sheria zaidu, nina wasi wasi na uwezo wake wa kusimamia maendeleo ya wananchi, ila all in all sidhani kama ana ushawishi mkubwa kwa wananchi kuliko lowassa , mbowe na zito. Kiufupi hafai na wala hafit hapo
'Amekaa kisheria sheria zaidi'mwisho wa kunukuu- hivi huoni hiyo ni sifa ya ziada kuwa rais ili aweze kusimamia sheria za nchi?
 
Porojo nyingi na mbwembwe za ccm ni kwamba hawahitaji kura hata moja kushinda uchaguzi wanachohitaji ni mwenyekiti wa tume amtangaze mgombea urais wa ccm kushinda ,matokeo ambayo hayawezi kupingwa popote kisheria .Bado wakurugenzi kuwatangaza wabunge ,kumbuka wote hawa ni wateule warais ,sasa suala la kusema ccm inapendwa ipendwe na nani kwa ufukara iliowaletea watanzania watu hata pesa za kula hawana halafu wawapende ,kuongoza hamjui , vipaumbele hamjui , mzunguko wa pesa hamjui unatakiwa uweje ? Nyinyi kuongoza mnafikiri ni kutisha watu na kutoa ma amri ya hovyohovyo .
 
Kikubwa fair play ndio kitu hakipo sababu JP toka aingie madarakani dhahiri shairi ametolea jicho 2020 at any cost na yeyote atakayepambana nae na kwa kauli zake visasi ni given na akishinda hakuna shaka misiba itazidi ya 2015 kutoka kwa wasiojulikana.

TL ndie haswaa anafaa sabbabu kubwa kwanza ni mhanga wa utawala salama yake ni kuweka mapambano ya wazi ili dunia nzima ijue watesi wa demokrasia TZ. Huyu mbaba kumwekea check and balance lazima kidume outspoken ndio kinatosha watu wa hewala na kuunga mkono juhudi hawawezi.

Kwa hali ilivyo inatakiwa siasa mpya TZ hasa ya upinzani business as usual haitaleta mabadiliko vurugu na ghasia lazima kuleta mabadiliko sasa kuliko wakati wowote ule.
 
Nyongeza ya mwaka ya mshahara kwa watumishi wa umma iko kisheria lakini huyu mtukufu wetu ambaye pia ni Dikteta ametoa agizo watumishi wasipewe hiyo nyongeza mpaka itakapofikia 2020 ili waweze kumchagua yeye. Halafu ndo CCM wanasema anazingatia utawala wa sheria.
Hii serikali imekaa kama kiimla imla hivi. Naona mambo mengi ya kisheria hupindishwa kwa makusudi. Sioni sababu yoyote ya msingi ya kutopandisha mishahara ya wafanyakazi kwa 4yrs.
 
Pascal unaheshimika sana katika jukwaa hili, ni mwandishi mzuri, Mwenye Mawazo chanya. Mimi naomba niseme kwamba kwa sasa hatuhitaji mtu tunahitaji mifumo kuliko wakati wowote ule, kama TL yupo tayari kuitengeneza, kuifadhiri na kuilinda mifumo sawa lakini kama hayuko tayari hatufai maana TL na MZEE kama wanafanana kwa hulka vile, sema TL fani yake ya uanasheria ndiyo inayomfunga.Kimsingi naye rangi zake hazisomeki vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mystery,
Akishinda Lissu utakuwa mwisho wa TZ yenye amani mkuu. Sijawahi ona mwanaharakati anaongoza nchi kwa amani. Ingawaje najua 100% huyo mgonjwa hawezi kuwa Rais wa JMT mpaka mwisho wa maisha yake. Ila kujipa moyo rukusa mkuu!
 
Pascal unaheshimika sana katika jukwaa hili, ni mwandishi mzuri, Mwenye Mawazo chanya. Mimi naomba niseme kwamba kwa sasa hatuhitaji mtu tunahitaji mifumo kuliko wakati wowote ule, kama TL yupo tayari kuitengeneza, kuifadhiri na kuilinda mifumo sawa lakini kama hayuko tayari hatufai maana TL na MZEE kama wanafanana kwa hulka vile, sema TL fani yake ya uanasheria ndiyo inayomfunga.Kimsingi naye rangi zake hazisomeki vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mwanasheria mwanaharakati hafai kuongoza nchi hata siku moja!
 
Kwahiyo chadema itakuwa na wagombea wawili? Lissu na Lowasa? Huyu jamaa nawasiwasi na utimamu wa akili yake.
 
Jozi 1,

Kichekesho kikubwa maneno mengi uongo mtupu chadema wameitisha milioni ya press zikisimamia na mwenyekiti katibu mkuu man aibu vyombo vyote havitoi chadema wapo mikoani kukuza chama na kufanya chaguzi chombo gani kinarusha viongozi wa idara wote wapo mikoani chombo kipi kinatangaza wananchi wamechukua jukumu lipi tangu viongozi waanze kuswekwa ndani kuna wakati kamati nzima ya wilaya ya viongozi kama chato waliswekwa ndani tena biharamulo sio chato chombo gani kimeandika propaganda zako za kijinga kamsimulie mama yako utulivu wa nchi ni kwa sababu chadema wamechukuwa non confrontational means ukweli wananchi wanamdharau sana magufuli kwa sababu ni dicteta wananchi hawamtaki
 
Hata angekuja malaika bila katiba mpya ni upuuzi mtupu nani asiyejua kuwa ccm ni chama dola hakijawahi kushinda popote tume yao ya chama kimoja katiba yenye kumtambua raisi akishatangazwa na hakuna wakuweza kumpinga mahakamani usenge mtupu yaani sijui hata chaguzi zinafanyika kama kutekeleza Zoezi ila raisi tayari yuko

Kwani DRC na Kenya hakuna Katiba mpya wapinzani walienda Mahakamani vipi walishinda?
 
Jozi 1,
Mkuu assessment uliyoitoa IPO right on point.

Kwa kifupi uongozi wa chadema ndio umekifikisha chama hapo kilipo( wanaonekana kama wameplataeu in terms of growth) na ili chama kikue au kiongoze ushawishi kwa wananchi basi inabidi yafanyike mabadiliko ya uongozi.

Kwa kifupi chadema kwa sasa inabidi ipate viongozi wenye expertise ya kukipeleka to the next level.
 
Ha ha chadema ndio inapaa matawi ya juu
 
Kwani DRC na Kenya hakuna Katiba mpya wapinzani walienda Mahakamani vipi walishinda?
Katiba zao zinaruhusu matokeo ya urais kupingwa mahakamani, ya kwetu hairuhusi. Kila nchi zina katiba zao. Katiba yetu inaruhusu matokeo ya ubunge na udiwani tu ndo yapingwe mahakamani. Sasa hii isiyo ruhusu hata kufika huko ni balaa, bora tupate inayoruhusu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kazi tu! Stress zitakuua. Urais mtausikia tu labda urais wa TLS au TFF!!
Ha ha muna kazi gani nyie ma tahira kila kitu haki endi kwa ni uraisi mulionao wenye legacy ya wezi ujambazi uuwaji na ufisadi muna faida kwa taifa letu au niwakufungwa mawe na Kutoswa Baharini
 
Back
Top Bottom