Pre GE2025 Tundu Lissu ni funzo kubwa kwetu walimwengu, hakika tenda wema nenda zako, Leo Lissu anamtukana Mbowe?

Pre GE2025 Tundu Lissu ni funzo kubwa kwetu walimwengu, hakika tenda wema nenda zako, Leo Lissu anamtukana Mbowe?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..kuna jamaa anaitwa Lupa.

..amefariki lakini taarifa zimetoka Mama Abdul kamteua kuwa Mkurugenzi ktk halmashauri.

..Mama Abdul hayuko serious na kazi.
Hatari sana
 
Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.

Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa.

Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa mzungu, sijui ni C.I.A huyo mama kapandikizwa, bado anatembea anatukana kila mtu nchi nzima, pamoja na Mbowe.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa sio Mbowe

Kama nakuelewa vile, kama kafikia huko sio vizuri, kasahau fadhila kubwa sana, Mbowe ana mema mengi pia kwa upande mmoja kama binadamu, nisiache kusema ukweli, ilaaaa ilaaaa upande wa pili ujue nae Mbowe mlafi kupindukia wa madaraka na Chadema kaifanya kabisa mali binafsi yaani kama vile SACCOS kabisa, no democracy at all, hataki kusikia mtu anagombea uenyekiti Chadema, sasa hiyo sio sawa kabisa, yaani sio chama cha siasa, hapo ndio Mbowe anaharibu vibaya sanaaa
 
..baadhi ya madai yako sio ya kweli.

..Mzee Mohammed " Bob " Makani mke wake alikuwa Mnyakyusa, hakuwa ndugu yake Mzee Mtei.
Sawa ila issue ni kwamba mtandao wa Mbowe/ Mtei siyo rahisi kuukata
 
Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa mzungu, sijui ni C.I.A huyo mama kapandikizwa, bado anatembea anatukana kila mtu nchi nzima, pamoja na Mbowe.
Haya maneno "Tundu Lissu anatukana nchi nzima" ni kama wimbo toka kwa viongozi wa serikali na CCM ukiwemo wewe chiembe lakini uliokosa chorus kwa ajili ya waitikiaji.

Cha ajabu ni kuwa hakuna awaye miongoni mwenu chawa anayeweza kuyanukuu hayo matusi kama ushahidi Ili watu waelewe!!.

Mathalani, hivi unaweza kunukuu mfano wa tusi hata Moja tu ambalo Tundu Lissu kalitoa au katukana watu wote "nchi nzima" specific akiwemo Freeman Mbowe mwenyekiti wake.?

Mbona kama vile hujui hata kufanya propaganda zenye akili kidogo wewe ndugu chiembe?

Afadhali kidogo huyu chawa mwenzako Lucas Mwashambwa ingalau anaweza kuandika fulskepu kadhaa za propaganda huku akijichanganya humohumo ndani ya maandiko yake mareeeeeeefu.
 
Sawa ila issue ni kwamba mtandao wa Mbowe/ Mtei siyo rahisi kuukata

..sidhani kama Mzee Mtei aliweka mizizi ktk kwasababu hakukaa muda mrefu ktk Uenyekiti, na aliacha chama kikiwa kidogo.
.

..kama kuna mtandao Cdm basi utakuwa ni wa Mbowe ambaye chini ya Uenyekiti wake chama kimekuwa kwa kiwango kikubwa.
 
Mbowe kawashika pabaya sana CCM. Wakilala wanamuona ndotoni, muda wote yuko machoni mwao.
 
Kusema Kweli siyo Kutukana!
Nimeshangaa Lissu kuzushiwa uongo kuwa alifukuza Mke!!
 
..sidhani kama Mzee Mtei aliweka mizizi ktk kwasababu hakukaa muda mrefu ktk Uenyekiti, na aliacha chama kikiwa kidogo.
.

..kama kuna mtandao Cdm basi utakuwa ni wa Mbowe ambaye chini ya Uenyekiti wake chama kimekuwa kwa kiwango kikubwa.
Huwezi kujua. Wachaga akili nyingi. Wanajua kutoa pasi za mbele na kukabia juu
 
..sidhani kama Mzee Mtei aliweka mizizi ktk kwasababu hakukaa muda mrefu ktk Uenyekiti, na aliacha chama kikiwa kidogo.
.

..kama kuna mtandao Cdm basi utakuwa ni wa Mbowe ambaye chini ya Uenyekiti wake chama kimekuwa kwa kiwango kikubwa.
Halafu Mbowe ana mwanaye anaitwa Dudley Mbowe. Yupo kwa pembeni anawacheki tu
 
Back
Top Bottom