Soon itakuwa Sexless = MboweMkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soon itakuwa Sexless = MboweMkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe
Mkapa = Mbowe
JK = Mbowe
JPM = Mbowe
Samia = Mbowe
Makani karithi chama kwa Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI), Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei (mkwe)
Marehemu Milton LupaNani tena kateuliwa?
Nani tena kateuliwa?
Hatari sana..kuna jamaa anaitwa Lupa.
..amefariki lakini taarifa zimetoka Mama Abdul kamteua kuwa Mkurugenzi ktk halmashauri.
..Mama Abdul hayuko serious na kazi.
Katibu mkuu hayupo serious na kazi yake naona kanogewaMarehemu Milton Lupa
Wengi ni wajinga kwa kiwango cha PhDHapo sasa ndio umeongea ukweli, yani watanzania kuambiwa facts kwao ni tusi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo mtu wenu ni looser , haiwezekani Toka anzaliwa anapinga Kila kitu,anampinga Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Jakaya, Magufuli,Samia na Kila maendeleo ya Tzn anapinga. Toka kijana Hadi Leo anazeeka anapinga tuu Kila kitu.
Huyu mtu ni mzima kichwani au Upinzani ni ugonjwa wa akili?
Au nyie mbaona ni jambo la kawaida Kwa hiyo ndugu yenu? 😄😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa.
Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa mzungu, sijui ni C.I.A huyo mama kapandikizwa, bado anatembea anatukana kila mtu nchi nzima, pamoja na Mbowe.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Lissu: Aliyeshika chupa ya damu nikipelekwa Nairobi ni Msigwa sio Mbowe
Sawa ila issue ni kwamba mtandao wa Mbowe/ Mtei siyo rahisi kuukata..baadhi ya madai yako sio ya kweli.
..Mzee Mohammed " Bob " Makani mke wake alikuwa Mnyakyusa, hakuwa ndugu yake Mzee Mtei.
Haya maneno "Tundu Lissu anatukana nchi nzima" ni kama wimbo toka kwa viongozi wa serikali na CCM ukiwemo wewe chiembe lakini uliokosa chorus kwa ajili ya waitikiaji.Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa mzungu, sijui ni C.I.A huyo mama kapandikizwa, bado anatembea anatukana kila mtu nchi nzima, pamoja na Mbowe.
Sawa ila issue ni kwamba mtandao wa Mbowe/ Mtei siyo rahisi kuukata
Matumaini yamebaki kwenye wizi wa kura na kutoa rushwa kununua kura. Abdul anayo mahela mengi sana kwa kazi hii..Maza Abdul pumzi imekata kujibu hoja za Lissu.
Huwezi kujua. Wachaga akili nyingi. Wanajua kutoa pasi za mbele na kukabia juu..sidhani kama Mzee Mtei aliweka mizizi ktk kwasababu hakukaa muda mrefu ktk Uenyekiti, na aliacha chama kikiwa kidogo.
.
..kama kuna mtandao Cdm basi utakuwa ni wa Mbowe ambaye chini ya Uenyekiti wake chama kimekuwa kwa kiwango kikubwa.
Halafu Mbowe ana mwanaye anaitwa Dudley Mbowe. Yupo kwa pembeni anawacheki tu..sidhani kama Mzee Mtei aliweka mizizi ktk kwasababu hakukaa muda mrefu ktk Uenyekiti, na aliacha chama kikiwa kidogo.
.
..kama kuna mtandao Cdm basi utakuwa ni wa Mbowe ambaye chini ya Uenyekiti wake chama kimekuwa kwa kiwango kikubwa.
Huwezi kujua. Wachaga akili nyingi. Wanajua kutoa pasi za mbele na kukabia juu
Halafu Mbowe ana mwanaye anaitwa Dudley Mbowe. Yupo kwa pembeni anawacheki tu