Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Hatutaki kelele tumewafungulia barabara mmekimbia mnataka tu kutupigia kelele mitandaoni
Akili yako ndipo ilipoishia?Shame!Watu tuna shughuli zenu na tunategemea advertisement,nyie mmekalia upuuzi!
 
Nikiibiwa kura nitajisalimisha ubalozi wa nchi ya magharibi na kuomba hifadhi ya ukimbizi.
 
Tukiibiwa kura hata mimi sitamsubiri Tundu Lissu kuniingiza barabarani. Akija kutamka atanikuta nikichanja mbuga kumkabili mwizi!
Kijana vipi upo barabara ipi kwasasa?
 
Hahahaha naona huyu jamaa ameanza kupagawa sasa, akifanikiwa kuingia barabarani kitakachotokea hakuna mwananchi amabaye atakuwa tayari tena kuhamasishwa na kukubali kuingia barabarani.
Mkuu yupo ubalozini kwasasa
 
Amesema akiibiwa kura hayo ndio yatatokea. Huu mchezo wa kuporwa ushindi imekuwa ni kawaida, hivyo ni vyema watu wafikie mwisho wa kuporwa ushindi wao.
Mhe mtu makini vipi mkuu wangu na wewe umesaliti amri ya kuandamana?
 
Sema kidogo mtu unapoanzisha kitu kuwa makin kama umeelewa kwel au vip.. Kauli inasema Nikiibiwa*.. Sio nikishindwa. . ukijua utofauti hapa njoo ulete tena topic.
 
Sema kidogo mtu unapoanzisha kitu kuwa makin kama umeelewa kwel au vip.. Kauli inasema Nikiibiwa*.. Sio nikishindwa. . ukijua utofauti hapa njoo ulete tena topic.
Kasema kaibiwa Kura na hayatambui matokeo ya uchaguzi hivyo basi muandamane hadi uchaguzi urudiwe upya tena kwa Tume huru.
Umeelewa sasa Mr GT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…