Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Tukiibiwa kura hata mimi sitamsubiri Tundu Lissu kuniingiza barabarani. Akija kutamka atanikuta nikichanja mbuga kumkabili mwizi!
Kijana vipi upo barabara ipi kwasasa?
 
Hahahaha naona huyu jamaa ameanza kupagawa sasa, akifanikiwa kuingia barabarani kitakachotokea hakuna mwananchi amabaye atakuwa tayari tena kuhamasishwa na kukubali kuingia barabarani.
Mkuu yupo ubalozini kwasasa
 
Amesema akiibiwa kura hayo ndio yatatokea. Huu mchezo wa kuporwa ushindi imekuwa ni kawaida, hivyo ni vyema watu wafikie mwisho wa kuporwa ushindi wao.
Mhe mtu makini vipi mkuu wangu na wewe umesaliti amri ya kuandamana?
 
Sema kidogo mtu unapoanzisha kitu kuwa makin kama umeelewa kwel au vip.. Kauli inasema Nikiibiwa*.. Sio nikishindwa. . ukijua utofauti hapa njoo ulete tena topic.
 
Sema kidogo mtu unapoanzisha kitu kuwa makin kama umeelewa kwel au vip.. Kauli inasema Nikiibiwa*.. Sio nikishindwa. . ukijua utofauti hapa njoo ulete tena topic.
Kasema kaibiwa Kura na hayatambui matokeo ya uchaguzi hivyo basi muandamane hadi uchaguzi urudiwe upya tena kwa Tume huru.
Umeelewa sasa Mr GT.
 
Back
Top Bottom