Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

Kwa ninavyomjua Magufuli... Dunia itamlaumu tu! Atawabutua wote.. barabara zitajaa mavi yalimwagika.
Natamani nishuhudie hii mbinde.
 
Haka ka jamaa kanajiona kanakubalika Sana'a kumbe hamana kitu kabisa
 
..muitikio / reaction ya wana-ccm ni kana kwamba mnahusika kupanga mipango ya kuiba kura zake.

..kama huna mpango wa kuiba kura za wapinzani usitie shaka, kauli hiyo haikuhusu.
Huo siyo ushahidi au hujui maana ya ushahidi ? Sasa muache kuandika mambo ambayo hamna ushahidi nayo, kwani mtazidhuru nafsi zenu na za wenzenu.

Pili, mimi sina chama wala sijawahi kuwa na chama na sitakuja kuwa nachama na sitakuja kupiga kura sababu hii mifumo kwangu mimi ni ya kishetani, ila ukweli huwa na utanguliza mbele kuliko hisia na dhana.

Tatu, hizi siasa zimewafanya kuwa vipofu wa moyo mpaka akili, yaani mnaenda enda tu kichwa mchunga, mfano ni huu, unaombwa ushahidi halafu unasema umeona tu muitikio, hizi ni dhana na huu siyo ushahidi, inabidi mkue sasa.
 
Kwanini usiwashauri tume ya uchaguzi wasicheze na kura? Tatozo Ni wizi wa kura, Kama hakuna wizi wa kura automatically hakuna maandamano
Naona huelewi kwenye maoni yangu binafsi nilimaanisha nini hapo.
 
Mimi nitaungana naye humuhumu JF.
 

..TL amesema ikiwa ataibiwa kura, ata ...

..sasa shida iko wapi hapo?

..tatizo lenu ccm mnataka kuwapangia vyama mbadala nini cha kuongea ktk majukwaa yao.
 
HUYU NDIE TULIKUWA TUKIMSUBIRI, LOWASA ALITULOSTISHA MNO, ALIKUWA UJI, TULIJUA WAMASAI WANAUA SIMBA HIVYO JEURI NA HAWAKUBALI KUSHINDWA ILA YEYE ALIKUWA MATOBHOLO KABISA
 
Huyu jamaa ni MZUSHI mwingine.
Hapo nimesema alicho kisema kwenye hiyo tweet hapo.
Na nikatoa maoni yangu hapo chini sasa Kama wewe hutaki kuelewa au kutofautisha maoni yangu mimi na kauli yake mwenyewe hilo ni tatizo lako sio langu.
 
..TL amesema ikiwa ataibiwa kura, ata ...

..sasa shida iko wapi hapo?

..tatizo lenu ccm mnataka kuwapangia vyama mbadala nini cha kuongea ktk majukwaa yao.
Shida ipo kwa kuweka dhana ambayo hana uhakika nayo, hii inaleta yaswira mbaya na chuki kwa wengine.

Kwanini adhanie na ili iweje ?

Ngoja nikuulize swali, hivi unamjuaje kama huyu ni CCM na yule CHADEMA, mbona unakuwa sifuri kisirani namna hiyo ? Sasa jikite kwenye hoja na si kumbandika mtu majina ambayo ukiambiwa huwezi kuthibitisha kauli yako.

Vijana mmekuwa walevi wa siasa mpaka mnahisi kila anaye kuwa shidi yako na yeye ni mwanachama wa chama fulani.
 
HUYU NDIE TULIKUWA TUKIMSUBIRI, LOWASA ALITULOSTISHA MNO, ALIKUWA UJI, TULIJUA WAMASAI WANAUA SIMBA HIVYO JEURI NA HAWAKUBALI KUSHINDWA ILA YEYE ALIKUWA MATOBHOLO KABISA
Unafikiri Lissu ana ubavu wa kufanya nini endapo ataibiwa kura kama ametiwa ulemavu tu nusu kupoteza maisha ila hajafanya lolote zaidi ya kutaka kutumia tukio hilo kuombea kura kwenye kampeni?
 
Twitter siyo ya Lissu na haiko accurate alichokisema Lissu na hiyo Twitter tofauti ni kama usiku na mchana.,

Hapo nimesema alicho kisema kwenye hiyo tweet hapo.
Na nikatoa maoni yangu hapo chini sasa Kama wewe hutaki kuelewa au kutofautisha maoni yangu mimi na kauli yake mwenyewe hilo ni tatizo lako sio langu.
 
RIP baadhi ya wananchi watakao ingizwa barabarani kama kondoo.
 
Waingize barabarani tuwaingize magetoni. We pima tu kina cha maji kwa mguu
 

..wewe umechukizwa na alichokisema TL?

..amesema akiibiwa kura ata...

..sasa hebu tueleze mgombea Uraisi wa Tz aliyeibiwa kura anapaswa kuchukua hatua gani?

..at least kwenye ubunge tunajua anaweza kwenda mahakamani, kwenye Uraisi mgombea aliyeibiwa kura tunamtetea na kumsaidia vipi?

NB:

..siyo kweli kwamba watu wanajenga dhana tu.

..Tanzania kuna wizi wa kura, na dhuluma nyingi ktk uchaguzi, na ushahidi ni kesi mbalimbali zilizoamuliwa na mahakama zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…