Tundu Lissu: Nikiwa Mwenyekiti, Heche na Lema wawe na nafasi gani kwenye chama.

Tundu Lissu: Nikiwa Mwenyekiti, Heche na Lema wawe na nafasi gani kwenye chama.

Ndio kusema Lema ana uhakika wa kitengo ? Na ndio maana yupo Canada hata uchaguzi wa kanda ya Kasikazini kaupotezea ? 😂😂😂
 
Mngejua anayeendesha huo ukurasa mngekata tamaa kabisa...ngoja tuseme ni Lissu ili hali ya hewa isichafuke😌
 
Twende na Heche huyo lema mpaka aombe msamaha wapiga kura aliowasema wana laana,. Nanukuu Kuendesha bodaboda ni laana,mama ntilie ni laana, vicoba ni laana. Sasa mtu kama huyo atatupa kazi kumsafisha mpaka wapiga kura wamuelewe.
Haihusiani na mada iliyopo mezani.
 
Back
Top Bottom