Tundu Lissu: Nikiwa Mwenyekiti, Heche na Lema wawe na nafasi gani kwenye chama.

Tundu Lissu: Nikiwa Mwenyekiti, Heche na Lema wawe na nafasi gani kwenye chama.

NDIO KUROPOKA HUKO TUSIKOKUPENDA, MROPOKAJI MPUUZI
Ni mtindo tu; baada ya muda hutaona tatizo; hasa huko unako kuita wewe "kuropoka" kutakuwa ni kwa manufaa.

hayo ya uchafu mliyo zoea kuyafanyia gizani unadhani ndiyo yenye faida kwa taifa hili; wakati ikiwa ni njia ya kulindana tu wenyewe kwenye maovu!?
 
Binafsi nilikuwa npendelea Tundu A. Lissu awe mwenyekiti wa CHADEMA, ila kwa yanayoendelea mitandaoni itoshe kusema Lissu & Mbowe hawafai na hawawezi kuipeleka CHADEMA popot
 
HALIMA MDEE and Covid 18 wenzie hawamo kwenye mjadala.

Halima aliharibu historia na mustakabalii wake wa kisiasa kwa sababu ya maslahi binafsi ya hela tamu ya ubunge.
 
Binafsi nilikuwa npendelea Tundu A. Lissu awe mwenyekiti wa CHADEMA, ila kwa yanayoendelea mitandaoni itoshe kusema Lissu & Mbowe hawafai na hawawezi kuipeleka CHADEMA popote .
Mkuu usitumie ya mitandaoni kuhukumu watu. Wapime wote wawili Mbowe na Lissu kwa kauli zao, sera zao, mikakati yao na mipango yao.

Mkuu ya mtandaoni yasikukoseshe amani. Yachukulie kama upepo, yatapita!!
 
Back
Top Bottom