Ni mtindo tu; baada ya muda hutaona tatizo; hasa huko unako kuita wewe "kuropoka" kutakuwa ni kwa manufaa.NDIO KUROPOKA HUKO TUSIKOKUPENDA, MROPOKAJI MPUUZI
Heche avute fomu ya makamu, lema apewe kitengo Cha oparesheni maalumuLissu anawauliza wanachama, je ana uhakika wa kushinda?
View: https://x.com/Lissu_2025/status/1870095911273091442/photo/1
Mnyika ukatibu mkuu hafaiTwende na HECHE NA MNYIKA.
Hii siyo X Account ya Tundu Lissu....!Lissu anawauliza wanachama, je ana uhakika wa kushinda?
View: https://x.com/Lissu_2025/status/1870095911273091442/photo/1
Lissu mtata sana😂😂😂 Naughty boy!Lissu anawauliza wanachama, je ana uhakika wa kushinda?
View: https://x.com/Lissu_2025/status/1870095911273091442/photo/1
suruali lazima ziwe tepe tepe, ndio wanataka hayo.Du sijuhi lumumba patakuwaje???
Binafsi nilikuwa npendelea Tundu A. Lissu awe mwenyekiti wa CHADEMA, ila kwa yanayoendelea mitandaoni itoshe kusema Lissu & Mbowe hawafai na hawawezi kuipeleka CHADEMA popot
Lakini chadema in blood na ufipa buku saba asilia hawawezi zuia hiloDu sijuhi lumumba patakuwaje???
Pimbi kasage udaga kajiado..Ukiwa mwenyekiti tutashitakiwa MIGA
M
Mnyika ukatibu mkuu hafai
Mkuu usitumie ya mitandaoni kuhukumu watu. Wapime wote wawili Mbowe na Lissu kwa kauli zao, sera zao, mikakati yao na mipango yao.Binafsi nilikuwa npendelea Tundu A. Lissu awe mwenyekiti wa CHADEMA, ila kwa yanayoendelea mitandaoni itoshe kusema Lissu & Mbowe hawafai na hawawezi kuipeleka CHADEMA popote .
Mpaka Lissu atangazwe utakuwa umedondoka kwa presha mara nyingi tuNDIO KUROPOKA HUKO TUSIKOKUPENDA, MROPOKAJI MPUUZI
Lema mwenezi wa chama.Heche avute fomu ya makamu, lema apewe kitengo Cha oparesheni maalumu
Lema ni lopolopo hafai kwenye uenezi maana lazima ataharibu kama ntoi.Lema mwenezi wa chama.
Hiyo Siyo account official ya Mh LisuLissu anawauliza wanachama, je ana uhakika wa kushinda?
View: https://x.com/Lissu_2025/status/1870095911273091442/photo/1
Hapo CCM wangejambaLemma Makamu Mwenyekiti na John Heche Katibu Mkuu.