Mikataba ilikuwa kandamizi, unconsciounable contracts. Pombe Magufuli could not live with himself looking at the country being raped and ripped apart.Wakati mnavunja mikataba kibabe ya wawekezaji mlikuwa mnategemea/mnafikilia nini?
Hakuna lolote, tatizo lililokuwa linamsumbua Magufuli ni akili ndogo na roho mbaya. Kwasababu alichokuwa anajinadi kukikataa ndicho alichokuwa anakifanya gizani. Magufuli amesaini mikataba mingi tu ya ovyoMikataba ilikuwa kandamizi, unconsciounable contracts. Pombe Magufuli could not live with himself looking at the country being raped and ripped apart.
Draculla was running the blood bank. Chunusi alikuwa mkurugenzi mtendaji wa benki ya hifadhi ya damu Muhimbili chini ya tawala zilizopita. Damu yote anakunywa na wanae.
Pombe Magufuli felt compelled to do something. He just had to do something. Patriot per excelence.
Yaani tufanye KAZI zenye tija na maslahi ya uma Kwa kufuata ushauli wa huyu jamaa yako?Hiyo kauli inaonesha vile anajua mambo ya sheria za kimataifa yanavyoendeshwa, ana experience, hakuna kingine zaidi ya hicho, muhimu kwenu akiwaambia fanyeni hiki na kile msifanye, mjifunze kusikiliza ushauri wake, upinzani sio uadui, mtaliepusha taifa na hasara zisizo za lazima.
Ama kweli wewe ni fisi tu!Kuna siku tu Lissu atatusapraizi akisema yeye ni shoga. We subirini Muda si mrefu
Wamemsaliti nani?..wasaliti ni wale waliovunja mikataba kinyume na utaratibu.
Itafika muda watatuambia tumuabudu huyo Lissu, mimi nashangaa watu wanaosema kwamba Magufuli alijifanya mungu mtu ila wao wanamfanya Lissu ni kama mungu. Kwamba yeye Hakosei kila kwa kila atakachosema na mawazo yake ndio sahihi muda wote kuliko yeyote na sasa wanataka tuwe taifa liwe linamsikiliza Lissu kama nabii vile kila atalosema tumsikilize.Yaani tufanye KAZI zenye tija na maslahi ya uma Kwa kufuata ushauli wa huyu jamaa yako?
Utakufa tu wewe TUJITEGEMEE na wenzako huko...Hakuwa presidential material na hatakaa awe hat' akisokomezwa huko ikulu! Munielewe jamani.
You talk too much ndugu UHURU JRItafika muda watatuambia tumuabudu huyo Lissu, mimi nashangaa watu wanaosema kwamba Magufuli alijifanya mungu mtu ila wao wanamfanya Lissu ni kama mungu. Kwamba yeye Hakosei kila kwa kila atakachosema na mawazo yake ndio sahihi muda wote kuliko yeyote na sasa wanataka tuwe taifa liwe linamsikiliza Lissu kama nabii vile kila atalosema tumsikilize.
Kama na hili hujui, basi wewe akili na ufahamu wako si riziki abadani...!!Wamemsaliti nani?
Mbona nimetoa sababu hapo kwanini Lissu anafanywa kuwa kama Mungu. Lissu kila analosema yeye ndio sahihi, mawazo yake yeye ndio sahihi kuliko mtu yeyote, hamkubali kuona mtu akimkosoa Lissu mtaanza kumshambulia hamuamini kwamba Lissu nae anakosea, mmeanza kutuambia kama taifa tuwe tunamsikiliza Lissu kila anachoshauri.You talk too much ndugu UHURU JR
Tunaosema Magufuli alijifanya ka - mungu mtu, tunathibitisha kwa mifano..
Na wewe justify kwa mifano ni kwanini sisi tusimuone Tundu Lissu kuwa ni mwenye "sura ya Mungu" a.k.a Mungu mtu ili tusimwamini...
Toa mifano ya uongo wa TL otherwise, huna lolote na nyamaza kimya...!!!
Huo sio usaliti, tafuta jina lengine usilazimishe kutumia neno la usaliti.Kama na hili hujui, basi wewe akili na ufahamu wako si riziki abadani...!!
Yaani wewe hujui kuwa kwa kosa lile la kijinga kwa sababu za ubabe tu wa aliyekuwa kiongozi wa nchi sasa nchi inalazimika kulipa million of dollars kama fidia...??
Inasemekana huyo aliyesababisha mali ya nchi yetu (ndege) ikamatwe, anataka alipwe takribani TZS 368bn..
Kama ni kweli, hebu liambie jukwaa hili kwamba fedha hizi za kumlipa huyu mtu zitatoka wapi?
Je, zitatoka kwenye mifuko ya mama na baba yake John P. Magufuli au Samia Suluhu Hassan siyo?
Je, siyo pesa zetu sisi wana wa nchi hii..?
Je, huu si usaliti dhidi ya umma wa Watanzania...??
Yaani pesa ambayo ingeenda kuboresha huduma za afya, elimu, nishati lakini kwa sababu za ubabe na ujinga wa mtu mmoja tu zinakwenda kupotea hivihivi...!!
Tanguu apigepige makelele ulishaina mwenye uelewa mzuri anamfuatilia. Tenawasije subutu Kuomba ata chumvi Kwa huyoo jamaa. Serikali ni zaidi ya mtu yeyote, na serikali imejitoshereza Kwa watu wake makini ilionao.Itafika muda watatuambia tumuabudu huyo Lissu, mimi nashangaa watu wanaosema kwamba Magufuli alijifanya mungu mtu ila wao wanamfanya Lissu ni kama mungu. Kwamba yeye Hakosei kila kwa kila atakachosema na mawazo yake ndio sahihi muda wote kuliko yeyote na sasa wanataka tuwe taifa liwe linamsikiliza Lissu kama nabii vile kila atalosema tumsikilize.
ficha ujinga, kuwahi kufanya kazi ni tatizo?Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.
Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.
#MakuwadiWaSokoHuria
Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
Ukae ukijua, Tanzania ni kubwa kuliko unavyodhani. Nia ovu haiwezi kuiangusha Tanzania. Dua zenu ovu ziwalenge ninyi wenyewe mnaozifikiria na kuziandika. Sisi bado tupo sana tu kuishuhudia Tanzania inayojitegemea kwa kila nyanja.Utakufa tu wewe TUJITEGEMEE na wenzako huko...
And by that time hatutahitaji kukuelewa kwani usilolitaka litakuwa limeshakuwa...!!!!
Inashangaza sana.Lisu anautaka Urais wa Tanzania lakini haipendi Tanzania.
Ndiyo, ni kubwa kuliko CCM na wewe...Ukae ukijua, Tanzania ni kubwa kuliko unavyodhani.
Nia ovu haiwezi kuiangusha Tanzania.
Dua zenu ovu ziwalenge ninyi wenyewe mnaozifikiria na kuziandika.
Sisi bado tupo sana tu kuishuhudia Tanzania inayojitegemea kwa kila nyanja.
===
Kama ni malengo ya kuvunja vunja kizazi cha utawala wa uovu chini ya CCM, hakika uko sahihi....unayajua malengo yetu...!!Tunajua malengo yenu ya kuuza nchi na kujinufaisha ninyi huku mkifanywa 'wapuuzi' na wanunuzi.