Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

Tundu Lissu: Niliwahi kufanya kazi katika kampuni iliyokamata ndege ya Tanzania Uholanzi. Kauli hii inakupa hisia gani?

Wakati mnavunja mikataba kibabe ya wawekezaji mlikuwa mnategemea/mnafikilia nini?
Mikataba ilikuwa kandamizi, unconsciounable contracts. Pombe Magufuli could not live with himself looking at the country being raped and ripped apart.

Draculla was running the blood bank. Chunusi alikuwa mkurugenzi mtendaji wa benki ya hifadhi ya damu Muhimbili chini ya tawala zilizopita. Damu yote anakunywa na wanae.

Pombe Magufuli felt compelled to do something. He just had to do something. Patriot per excelence.
 
Hakuna lolote, tatizo lililokuwa linamsumbua Magufuli ni akili ndogo na roho mbaya. Kwasababu alichokuwa anajinadi kukikataa ndicho alichokuwa anakifanya gizani. Magufuli amesaini mikataba mingi tu ya ovyo
 
Hiyo kauli inaonesha vile anajua mambo ya sheria za kimataifa yanavyoendeshwa, ana experience, hakuna kingine zaidi ya hicho, muhimu kwenu akiwaambia fanyeni hiki na kile msifanye, mjifunze kusikiliza ushauri wake, upinzani sio uadui, mtaliepusha taifa na hasara zisizo za lazima.
Yaani tufanye KAZI zenye tija na maslahi ya uma Kwa kufuata ushauli wa huyu jamaa yako?
 
Atakuwa ametuchoma sio bure🥺
Nadhani anakuwa na mgao fulani endapo serikali itaamua kulipa, unaweza kuta anakula bilioni zake tatu nne. Akija mitandaoni kelele miiingi
 
Yaani tufanye KAZI zenye tija na maslahi ya uma Kwa kufuata ushauli wa huyu jamaa yako?
Itafika muda watatuambia tumuabudu huyo Lissu, mimi nashangaa watu wanaosema kwamba Magufuli alijifanya mungu mtu ila wao wanamfanya Lissu ni kama mungu. Kwamba yeye Hakosei kila kwa kila atakachosema na mawazo yake ndio sahihi muda wote kuliko yeyote na sasa wanataka tuwe taifa liwe linamsikiliza Lissu kama nabii vile kila atalosema tumsikilize.
 
You talk too much ndugu UHURU JR

Tunaosema Magufuli alijifanya ka - mungu mtu, tunathibitisha kwa mifano..

Na wewe justify kwa mifano ni kwanini sisi tusimuone Tundu Lissu kuwa ni mwenye "sura ya Mungu" a.k.a Mungu mtu ili tusimwamini...

Toa mifano ya uongo wa TL otherwise, huna lolote na nyamaza kimya...!!!
 
Wamemsaliti nani?
Kama na hili hujui, basi wewe akili na ufahamu wako si riziki abadani...!!

Yaani wewe hujui kuwa kwa kosa lile la kijinga kwa sababu za ubabe tu wa aliyekuwa kiongozi wa nchi sasa nchi inalazimika kulipa million of dollars kama fidia...??

Inasemekana huyo aliyesababisha mali ya nchi yetu (ndege) ikamatwe, anataka alipwe takribani TZS 368bn..

Kama ni kweli, hebu liambie jukwaa hili kwamba fedha hizi za kumlipa huyu mtu zitatoka wapi?

Je, zitatoka kwenye mifuko ya mama na baba yake John P. Magufuli au Samia Suluhu Hassan siyo?

Je, siyo pesa zetu sisi wana wa nchi hii..?

Je, huu si usaliti dhidi ya umma wa Watanzania...??

Yaani pesa ambayo ingeenda kuboresha huduma za afya, elimu, nishati lakini kwa sababu za ubabe na ujinga wa mtu mmoja tu zinakwenda kupotea hivihivi...!!
 
Mbona nimetoa sababu hapo kwanini Lissu anafanywa kuwa kama Mungu. Lissu kila analosema yeye ndio sahihi, mawazo yake yeye ndio sahihi kuliko mtu yeyote, hamkubali kuona mtu akimkosoa Lissu mtaanza kumshambulia hamuamini kwamba Lissu nae anakosea, mmeanza kutuambia kama taifa tuwe tunamsikiliza Lissu kila anachoshauri.

Kiujumla mnatuaminisha kuwa Lissu ni bora kuliko wengine, mtu msiyetaka akosolewe mtu msiye amini kama anakosea kama wengine mtu ambaye mmejisalimisha kwake mtasikiliza na kukubali kila anachosema huyo ni mungu.
 
Kama na hili hujui, basi wewe akili na ufahamu wako si riziki abadani...!!

Yaani wewe hujui kuwa kwa kosa lile la kijinga kwa sababu za ubabe tu wa aliyekuwa kiongozi wa nchi sasa nchi inalazimika kulipa million of dollars kama fidia...??

Inasemekana huyo aliyesababisha mali ya nchi yetu (ndege) ikamatwe, anataka alipwe takribani TZS 368bn..

Kama ni kweli, hebu liambie jukwaa hili kwamba fedha hizi za kumlipa huyu mtu zitatoka wapi?

Je, zitatoka kwenye mifuko ya mama na baba yake John P. Magufuli au Samia Suluhu Hassan siyo?

Je, siyo pesa zetu sisi wana wa nchi hii..?

Je, huu si usaliti dhidi ya umma wa Watanzania...??

Yaani pesa ambayo ingeenda kuboresha huduma za afya, elimu, nishati lakini kwa sababu za ubabe na ujinga wa mtu mmoja tu zinakwenda kupotea hivihivi...!!
Huo sio usaliti, tafuta jina lengine usilazimishe kutumia neno la usaliti.

Hao waliyoingia hiyo mikataba ndio wasaliti kwa sababu kwa niaba yetu wameingia mikataba ya hovyo isiyo na maslahi kwa taifa na huyo Lissu kama kweli anafanya haya yanayosemwa basi nae ni msaliti.
 
Itafika muda watatuambia tumuabudu huyo Lissu, mimi nashangaa watu wanaosema kwamba Magufuli alijifanya mungu mtu ila wao wanamfanya Lissu ni kama mungu. Kwamba yeye Hakosei kila kwa kila atakachosema na mawazo yake ndio sahihi muda wote kuliko yeyote na sasa wanataka tuwe taifa liwe linamsikiliza Lissu kama nabii vile kila atalosema tumsikilize.
Tanguu apigepige makelele ulishaina mwenye uelewa mzuri anamfuatilia. Tenawasije subutu Kuomba ata chumvi Kwa huyoo jamaa. Serikali ni zaidi ya mtu yeyote, na serikali imejitoshereza Kwa watu wake makini ilionao.
 
Tundu Antipas Mugwai Lissu, akichangia mada huko space Twitter, alieleza kwamba aliwahi kufanya kazi katika kampuni hiyo akiwa kama mshauri wa masuala ya ardhi.

Kauli hii inaleta ukakasi kidogo. May be kuna Watanzania wenzetu wanaotarajiwa kuwa viongozi, lakini wakati mwingine wanauza mechi kwa mabeberu.

#MakuwadiWaSokoHuria

Wanalia nchi inauzwa, kumbe wao ndio makuwadi
ficha ujinga, kuwahi kufanya kazi ni tatizo?
 
Utakufa tu wewe TUJITEGEMEE na wenzako huko...

And by that time hatutahitaji kukuelewa kwani usilolitaka litakuwa limeshakuwa...!!!!
Ukae ukijua, Tanzania ni kubwa kuliko unavyodhani. Nia ovu haiwezi kuiangusha Tanzania. Dua zenu ovu ziwalenge ninyi wenyewe mnaozifikiria na kuziandika. Sisi bado tupo sana tu kuishuhudia Tanzania inayojitegemea kwa kila nyanja.
===
Tunajua malengo yenu ya kuuza nchi na kujinufaisha ninyi huku mkifanywa 'wapuuzi' na wanunuzi. Hakika, kamwe malengo yenu ovu hayo hayatatimia.

Mchana mwema.
 
Ukae ukijua, Tanzania ni kubwa kuliko unavyodhani.
Ndiyo, ni kubwa kuliko CCM na wewe...
Nia ovu haiwezi kuiangusha Tanzania.

Nia ovu dhidi ya Tanzania iko ndani ya hawa wanaojiita CCM na serikali yao. Kiongozi mwenye nia safi na njema hawezi kuibia watu wake. Na hawezi kufanya maamuzi ya kijinga na kipumbavu mwisho kuwapa mzigo watu wake...!
Dua zenu ovu ziwalenge ninyi wenyewe mnaozifikiria na kuziandika.

Hakuna, ni WEWE na WENZAKO huko. Mtakwepea wapi kufa iwapo nyie mnamwaga damu za watu? Tuliomba hivyo kwa yule kiongozi wenu. Part two inakuja. Ni masalia ambayo ni nyie..

Lazima muelewe kuwa nchi hii ni ya watanzania na siyo ya CCM iliyokengeuka na kuwa kundi dogo la waasi na waovu. CCM ni ile iliyokuwa ya Nyerere, siyo hii...!!
Sisi bado tupo sana tu kuishuhudia Tanzania inayojitegemea kwa kila nyanja.
===

HAMPO and soon itathibitika kuwa HAJAWAHI KUWEPO. Yuko wapi yule aliyempiga Tundu Lissu risasi ? Si ndiye mlikuwa kwenye mchakato wa kumfanya atawale maisha yake yote? Ikawa je? ALIKUFA kama ambavyo nyie MTAKUFA kama tu hamtaacha mienendo yenu ya uovu...!!
Tunajua malengo yenu ya kuuza nchi na kujinufaisha ninyi huku mkifanywa 'wapuuzi' na wanunuzi.
Kama ni malengo ya kuvunja vunja kizazi cha utawala wa uovu chini ya CCM, hakika uko sahihi....unayajua malengo yetu...!!

Kwako wewe ambaye ulishakuwa "brainwashed" na ujinga wa kiCCM, nakuahangaa kwa sababu;

✓ Una macho lakini huoni. ✓ Una masikio lakini husikii. ✓ Una pua lakini hata haiwezi kunusa...

AMKA wewe TUJITEGEMEE kwani NCHI ILIKWISHA KUUZWA KITAMBO na hao udhaniao ni watu kumbe ni mashetani 😈😈 wenyewe ktk sura za wanadamu...!

Nchi iko gizani, hakuna UMEME. Hakuna MAJI. Yaani kila huduma ni NUSU NAFUU na NUSU ingine ni SHIDA TUPU halafu wewe mfia dini hata huoni kuwa liko tatizo mahali...!!

Ndiyo nakuambia nyie watu dizaini ya TUJITEGEMEE MTAKUFA na mtawaacha wapigania UKWELI na UHURU wanaishi na kuisimamia HAKI...!!
 
Back
Top Bottom