Ukae ukijua, Tanzania ni kubwa kuliko unavyodhani.
Ndiyo, ni kubwa kuliko CCM na wewe...
Nia ovu haiwezi kuiangusha Tanzania.
Nia ovu dhidi ya Tanzania iko ndani ya hawa wanaojiita CCM na serikali yao. Kiongozi mwenye nia safi na njema hawezi kuibia watu wake. Na hawezi kufanya maamuzi ya kijinga na kipumbavu mwisho kuwapa mzigo watu wake...!
Dua zenu ovu ziwalenge ninyi wenyewe mnaozifikiria na kuziandika.
Hakuna, ni WEWE na WENZAKO huko. Mtakwepea wapi kufa iwapo nyie mnamwaga damu za watu? Tuliomba hivyo kwa yule kiongozi wenu. Part two inakuja. Ni masalia ambayo ni nyie..
Lazima muelewe kuwa nchi hii ni ya watanzania na siyo ya CCM iliyokengeuka na kuwa kundi dogo la waasi na waovu. CCM ni ile iliyokuwa ya Nyerere, siyo hii...!!
Sisi bado tupo sana tu kuishuhudia Tanzania inayojitegemea kwa kila nyanja.
===
HAMPO and soon itathibitika kuwa HAJAWAHI KUWEPO. Yuko wapi yule aliyempiga Tundu Lissu risasi ? Si ndiye mlikuwa kwenye mchakato wa kumfanya atawale maisha yake yote? Ikawa je? ALIKUFA kama ambavyo nyie MTAKUFA kama tu hamtaacha mienendo yenu ya uovu...!!
Tunajua malengo yenu ya kuuza nchi na kujinufaisha ninyi huku mkifanywa 'wapuuzi' na wanunuzi.
Kama ni malengo ya kuvunja vunja kizazi cha utawala wa uovu chini ya CCM, hakika uko sahihi....unayajua malengo yetu...!!
Kwako wewe ambaye ulishakuwa "brainwashed" na ujinga wa kiCCM, nakuahangaa kwa sababu;
✓ Una macho lakini huoni. ✓ Una masikio lakini husikii. ✓ Una pua lakini hata haiwezi kunusa...
AMKA wewe
TUJITEGEMEE kwani NCHI ILIKWISHA KUUZWA KITAMBO na hao udhaniao ni watu kumbe ni mashetani 😈😈 wenyewe ktk sura za wanadamu...!
Nchi iko gizani, hakuna UMEME. Hakuna MAJI. Yaani kila huduma ni NUSU NAFUU na NUSU ingine ni SHIDA TUPU halafu wewe mfia dini hata huoni kuwa liko tatizo mahali...!!
Ndiyo nakuambia nyie watu dizaini ya
TUJITEGEMEE MTAKUFA na mtawaacha wapigania UKWELI na UHURU wanaishi na kuisimamia HAKI...!!