Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

kafanyeje acha mihemko na kupanic JIBUNI HOJA ZAKE
 
Ndio sera zenu mwaka huu, nina risasi mguuni, mkono wa kushoto, nina risasi pajani. Hayo ndio anayohubiri tokea amefika, maana lisu bado mgonjwa anafanya nini jukwaani. Mnatafuta huruma ya wananchi, anataka tumuhurimie tumpe nchi.
Kama hiyo huruma ipo wacha wapate
 
Tambua hafanyi kampen anatafuta wadhamin kampen ikifunguliwa atajwambia atawafanyia nini wananchi
 
Ushauri huo ungewapa ndugu zake CDM walishiriki ku sign maadili na kanuni za uchaguzi. Na hayo anayofanya kwa sasa bara ni yeye mwenyewe wengine wote wanasubiri tarehe rasmi.
 
Punguza porojo
 
Ndio sera zenu mwaka huu, nina risasi mguuni, mkono wa kushoto, nina risasi pajani. Hayo ndio anayohubiri tokea amefika, maana lisu bado mgonjwa anafanya nini jukwaani. Mnatafuta huruma ya wananchi, anataka tumuhurimie tumpe nchi.
kaka wewe ni mwanaume mzima? au unatiwa? alfu umakamata pua eti lisu , eti lissu? leta hoja zenye mantiki sio kuropokwa kama malaya
 
Hivi vitisho anavyovipata apeleke polisi na kama yeye sio mkosaji amfuate afande sillo wayamalize
Ila anaomba wamlinde huku anawachamba kweli kazi ipo
 
Muhimu yeye mwenyewe keshamskiliza IGP jana kwamba muda wa mikusanyiko bado lakini ameamua kutokutii na lugha anayotumia ya kuhamasisha utovu wa sheria ameonywa kuacha lakini asikii.

..IGP amekosea kutoa statement ile.

..waliotakiwa kumjibu TL ni tume ya uchaguzi ya taifa.

..TL amezungumzia matukio ya wapinzani kudhulumiwa ushindi na haki zao wakati wa uchaguzi.

..IGP anakosea kuwatishia watu wanaolalamika kuibiwa na kudhulumiwa.

..badala ya kuwatisha, IGP alitakiwa amhakikishie TL na wenzake kwamba jeshi lake litafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa HAKI za vyama vyote zinalindwa.
 
kaka wewe ni mwanaume mzima? au unatiwa? alfu umakamata pua eti lisu , eti lissu? leta hoja zenye mantiki sio kuropokwa kama malaya
[emoji23][emoji23][emoji23]Sera zetu matusi, ndio kilichobakia, mnataka kuambiwa mnachokitaka, lisu ni waste of time hana lolote, na tutaona baada ya uchaguzi nani mwanaume.
 
Ongea yote lakini TUKUTANE OKTOBA 28!
 

Ni lazima watu wachukue hatua mkononi kwasababu tume imekuwa ikitumika kunajisi uchaguzi na hilo liko wazi. Ni wendawazimu kuiamini tume isiyo huru vya uchaguzi. Lisu kaenda kuchukua fomu juzi, kwa kuwa utaratibu umefuatwa umeona mtu yoyote kafanya fujo? Sioni kama una jipya zaidi ya kujibana kwenye vyombo vya dola. Fuateni sheria hakuna mwenye tatizo na hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…