Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mmmmmmghh nyege mbayaanajitoa chadema anahamia ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmmghh nyege mbayaanajitoa chadema anahamia ccm
Wakuu,
Siku ya leo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa ananguruma wakati anazungumza na vyombo vya habari
Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea kwenye mkutano huo.
- Katika mkutano huo uliofanyika Mlimani City, Tundu Lissu amedokeza kuwa anagombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ambayo kwa sasa inashikiliwa na Freeman Mobwe
- Lissu amesema kuwa tayari ameshawasilisha maombi yake ya kugombea nafasi ya Uenyekiti kwa viongozi wa juu wa CHADEMA
Akiongea na Waandishi wa Habari, Makamu wa Rais wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu, amesema anaaamini na Wanachama wengine wanaamini kuwa ana sifa zote za Kugombea nafasi ya juu kabisa ya Uongozi wa Chama hicho kwa ngazi ya Taifa, kama zilivyoanishwa katika Katiba ya Chama.
Lissu amesema amewasilisha taarifa rasmi kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ya kuondoa kusudio lake la kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti (Tanganyika) na badala yake amewasilisha kusudio la Kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama taifa katika Uchaguzi Mkuu wa Chama ujao.
Hii hatari, hata wapare hawamtaki Lissu?Mimi na Wewe anayeteseka ni nani? 😂
Nimekumbusha tu hata Mchungaji Msigwa alianzaga na vipress hivi hivi
Nilijua tu mtaumia. Nimebandika asubuhi ya Leo nikiwashangaa CCM kushabikia Lissu kuwa Mwenyekiti wa CDM. Sasa mtaacha ujinga.Puppet ana mikwara sana japo ni mnyonge na anatia huruma sana kupambana na chairman wake 🐒
Ataenda wapi?Hauwezi kukubali kwani huo utawala ndio unapiga kura? Labda useme mazingira ya kisiasa yatakuwa magumu zaidi kwa CHADEMA.
Lissu hawezi kwenda ACT labda kuanzisha chama kipya.
Soma vizuri comment yangu.Ataenda wapi?
Kwani CCM ndio inapiga kura? Wapiga kura si ndio wataamua?Ccm hawezi kuruhusu lisu apite, watafanya juu chini lazima ashindwe, kwann, kwa sbb lisu ndio mpinzani wa kweli Tanzania hao wengine ni shadow
Unaweza kushindana nae kwenye sekta gani ya elimu yako?Aliogopa the unknown tu. Lakini lisu kilaza haswaa mi ndo namjua mana nimesima nae
Unawaza kizamani sana 😂Hapana mkuu. Huyu labda awe waziri mkuu. Watu wenye hulka yake hawafai kuwa wa mwisho katika maamuzi. Watu kama hawa wanafaa kuwa kama sokoine, anakuwa waziri mkuu halafu raisi anasapoti afanyayo ila inapotokea jambo lisilohitaji hulka ya watu aina yake basi anakuwepo wa kummpunguza mwendo.