Mruma amechunguza kitaalam wewe umejuaje?Jamani, kuna watu walikuwa wanapiga mishe haya makontena na wanachemsha huo mchanga maana dhahabu yake hauwezi kushika bila kuchemsha.
Hayana dhahabu kiivyo!
Ni hizohizo kilo tatu au pungufu wanazosema Acacia .
Sasa bakini na Mruma wenu, sisi ndio tuko kitaa .
ukitaka kujua Tundu Lissu ni tahira hebu angalia anacho kiongea na sisi tunacho kiongea ni tofauti.
Yeye anafikiri watu wengi wana kataa kusafirishwa kwa mchnaga kumbe kikubwa kinachopingwa ni udanganyifu kwenye kilichomo kwenye mchanga... yeye alishawai kusema mikataba hii ni ya usiri sasa anaongelea nini kitu ambacho hajawai kukiona? hivi hiyo mikataba ndio inasema kuwa wawe wanadanganya kuna kiasi fulani cha dhahabu?
Hivi Tundu Lissu utahira atapona lini? Hata ACCACIA wanajua concern ya serikali ni kuhusu kiasi kilichomo kwenye mchanga au makanika na wao wanataka upimwe tena...
Lakini Tahira Lissu anapinga utafiti kwa tumbo na mdomo tuuu...
Mwenzie Zitto amenyamaza na kusema wazi kuwa utafiti hupingwa kwa utafiti..
Mikataba ni mibovu hata magufuli amewahi kutamka lkn umeshasainiwa hivyo anahakikisha for time being inatekelezwe ipasavyo.Magufuri chonde angalia kwanza mikataba hii kijinga inasemaje pamoja na nia nzuri utatuingiza kwenye majanga tafadhali
Pamoja na lowassaMimi na wewe tunamaana moja ila tofauti miandiko tu,haihitaji cheti cha chekechea kujua ni kina nani waliotufikisha hapa ovious ni CCM asiye jua hilo akizaliwa tutamsimulia
HahahahaI'm waiting anxiously for Tundu Lissu to be next President of Tz come 2020
[emoji102]Huyu ndiye mpiganaji wa ukweli sio yule mwingine anayetafuta kick kwa kufukuza mawaziri huku akijua tatizo lipo kwenye mikataba
Wakati mnatahadhalishwa na kuonywa, na kupigwa kelele kabla ya kufanywa mlivyofanywa, mlikuwa hamsikii au ni nini hasa kilifanya mpuuzi na kukaa kimya kipindi mnaonywa?Kwahiyo kama tulikaa kimya kwa sab yoyote ile hatustahili kuamka?
Yeye anaweza kuwa chizi ila ujuaji wako utacost nchi yote kama ilivyo tanesco na mikataba nyingine. Siasa na mihemko yake isiwatoe kujua kuwa once you have penned down something ndo hivyo otherwise mipaka tuliyo nayo sasa iliyosigniwa 1884 tusingeiheshimu. Jiulize kwa nini??? Think, read, research then come back. Kwa nini hutumii maji ya Victoria kwa Irrigation wakati Misri inayatumia? Mbona hilo hupingi?huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
huyu ni chizi tuu aseme kama mikataba iliyo sainiwa ina halalisha kudanganya kiasi cha madini kilichomo ndani ya mchanga....
Tahira huyu
Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Yaani we mtoto wa Antipus libarikiwe tumbo lililokubeba,,yaani ningekuwa na binti mwanamwali ningemtoa kwako buree,,nakumbuka yote uliyoongea ni kweli tupu,. Miaka yote hiyo nilikuwa nakusikiliza na natambua ukweli wako na umesimamia wapi. Big up keep it up,,wasioelewa ipo siku watakuelewa
Na mimi ni Mtanzania pia.
Tofauti kati yangu mimi na wewe na Magufuli ni hii: Mimi nimepigania nchi yangu katika masuala haya tangu mwaka '99.
Wakati huo tulikuwa na mgodi mmoja tu wa dhahabu, Resolute Golden Pride Nzega. Bulyanhulu ilikuwa haijajengwa. Geita ndio kwanza walikuwa wanafukuza wanakijiji wa Mtakuja.
Nadhani nilikuwa wa kwanza katika nchi hii kupiga yowe kwamba tutaibiwa sana kwenye sekta ya madini.
Wewe sijui ulikuwa wapi wakati huo. Najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa MaCCM na wawekezaji hawa.
Nimepigana na wawekezaji hawa mahakamani, kwenye medani ya kisiasa ndani na nje ya nchi hii kwa zaidi ya miaka 15. Nimetetea wananchi completely free of charge Bulyanhulu, Tarime, Nzega, Geita, n.k.
Sijui wewe ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa upande wa nani: wa MaCCM na wanyonyaji hawa.
Soma Rai ya tarehe 17 Julai, 2001, uone tulimwambia nini Mkapa siku anaenda kuzindua Mgodi wa Bulyanhulu.
Sijui ulikuwa wapi lakini najua Magufuli alikuwa wapi: alikuwa anatetea tumbo lake na matumbo ya wanyonyaji hawa.
Nilikamatwa na kushtakiwa kwa uchochezi kwa sababu ya Bulyanhulu. Hiyo ilikuwa December 2002. Nilikaa na kesi hiyo mahakamani Kisutu kwa miaka sita.
Sijui ulikuwa wapi ila najua Magufuli alikuwa wapi: upande wa watesi wa wananchi na wanyonyaji wa rasilmali zetu.
Leo Magufuli anajifanya mzalendo na anahoji uzalendo we yeyote anayepingana nae.
Ni muongo. Anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa wasiojua na wasiokumbuka. Ataupata. Kwa siku chache tu. Mark my words: ataumbuka na mtaumbuka.
Mimi ninampinga hadharani. Sio mnafiki, na sijahongwa. Ninampinga kwa sababu atatusababishia matatizo makubwa zaidi kuliko tuliyonayo sasa.
Huo mchanga atauachia upelekwe ambako umepelekwa kwa miaka 16 iliyopita. Kama sheria ndiyo hiyo na mikataba ndiyo hiyo hana pakwenda.
Tatizo ninaloliona ni kwamba by the time anawarudishia mchanga wao, Tanzania itakuwa imekuwa a basket case kama Zimbabwe.
Na tutakuwa tumelipishwa mapesa mengi kama fidia na arbitral tribunals za kimataifa kwa kuvunja mikataba na wawekezaji hawa.
Kama kuna anayefikiri uzalendo ni kufumbia macho masuala haya basi huyo na amuunge mkono Magufuli kwenye upofu wake wa kujitakia.
Ripoti ya Prof. Mruma haitamaliza hata nusu saa under serious scrutiny. Zaidi ya majina ya maprofesa walioiandaa, ripoti hii haina credibility yoyote. Ni kazi ya kisiasa iliyopakwa rangi ya usomi.
Kama umefuatilia taarifa za kitaalamu za Bulyanhulu hata kabla ya Barrick Gold kuingia mwaka '99 utajua ninasema nini.
Sutton Resources, Outukumpu Oy na hata STAMICO walishafanya utafiti mkubwa juu ya utajiri wa Bulyanhulu. Taarifa zipo na zimekuwepo kwa hata mbumbumbu wa jiolojia ya madini kama mimi.
Hiki alichoambiwa Magufuli ni rubbish, hata kama ni ya kiprofesa. Rubbish. Hatuibiwi kwenye mchanga, that's the rubbish fed on the unlettered.
Tunaibiwa kwenye sheria. Kama hamuoni hilo then God have mercy on us.
Aisee,,hv ufisadi wa Lowasa ulithibitishwa kwenye mahakama ipi vle,,au tumsubiri Sizonje amtumbue maana mi nashindwa kuelewa kabisa pamoja na mkuu kulalamika jinsi alivyoteswa kwenye kampeni na huyu mtu lkn mbona anashindwa kumpeleka mahakamani,,?? Mbona ilikuwa rahisi kama mnavyofikiria kwa kutumia akili za kuazimwa,si DPP angemfungulia tu mashtaka akampeleka kwenye mahakama ya mafisadi,,!!? Au kwa nn nyie msiende kufungua tu kesi,? Serikali si inaongozwa na chama chenu cha kifisadi,mnaiba mpaka mchanga,!! Mawakili na wanasheria pamoja na wapelelezi ukichanganya vyombo vyote vya uchunguzi mnaviongoza sasa mnalalamika nn kuhusu mtu anayewanyima usingizi,!?Lissu tangu lini ulikuwa mzalendo! Uzalendo wa kutetea fisadi lowasa, au uchumia tumbo upi anausema zaidi ya huu wa kupewa kitu kidogo kumsafisha mtu aliye mchafua kwa miaka 10. Lissuu wadanganye vipofu wa vabichaa
Jibu swali ukiteleza hutakiwi kuamka bila kujali umetelezeshwa na nini?Wakati mnatahadhalishwa na kuonywa, na kupigwa kelele kabla ya kufanywa mlivyofanywa, mlikuwa hamsikii au ni nini hasa kilifanya mpuuzi na kukaa kimya kipindi mnaonywa?
Mkuu kumbe uliona hilo, nilidhani nipeke yangu..binafsi nimesikitika jinsi yule former PS alivyodhalilishwa.
..kwa kweli haipendezi kabisa mzee yule kuambiwa majibu aliyotoa ni "unyama wa ajabu" na stupid answer..na maneno hayo yanasemwa live
Kwahiyo kama tulikaa kimya kwa sab yoyote ile hatustahili kuamka?