Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Ficha ujinga wako
 
Good onservation
 
Hajakosea Mkuu
Wewe ndo hujamuelewa.

Alichokiandika ndiyo sahihi kwamba 2025 watu ili wakubalike ,lazima waje kwa upepo wa JPM.
Asante kwa kunielewesha mkuu, nilidhani ni typing error kumbe nimedandia kwa mbele😁
Anyway #YNWA👋
 
Wamejaribu upepo wa utanganyika na uzanzibari wameshindwa, wamejaribu upepo wa bandari wameshindwa, sasa wanaona hebu wajaribu upepo wa marehemu; duh mambo ni mengi muda ni mchache[emoji23]

Ila mkuu wewe lazima utkuwa Lusinde aka Kibajaji
 
Tumeitwa na braza Dubai,nitapita pia kwa mjomba Saudi Arabia pia.
 
Attachments

  • IMG-20230729-WA0200.jpg
    26.9 KB · Views: 1
  • IMG-20230729-WA0199.jpg
    47.2 KB · Views: 1
  • IMG-20230729-WA0198.jpg
    47 KB · Views: 1
  • IMG-20230729-WA0197.jpg
    60.5 KB · Views: 1
Naandika hapa nikijua kabisa yakuwa familia ya marehemu inajiandaa Kwa kushrikiana na jeshi la polisi na chama tawala kumzuia MH Tundu Lissu atakapo zuri kabulini Kwa lengo la kumwamusha marehemu ahamke na kuangalia kinachoendelea nchini Tanzania.
MH Lissu naomba ikifika hapo kabulini mwambie mwendazake ahamke aone nchi inavyokwenda mrama.
Nchi inaenda mrama vuruvuru.
 
Imekuaje tena makamanda uchwara wameanza kumlilia Magufuli?[emoji1787]
Wakati Chadema wanafanya mkutano jana walijua ccm watafanya mkutano leo , wakawatafutia ajenda , ukisikiliza mkutano wa ccm leo kila mzungumzaji aliingia kwenye mkenge wa Lissu , Hapa Chadema imefanikiwa haswa
 
Wewe kibwengo kwa nini sasa unaanza kumlilia Magufuli, huoni kama umechelewa?😂
 
Akimuamsha tu ajue atarudi Belgium tena. Magufuli alikuwa hajamalizana na Lissu. Baada ya kumkosa kosa September 7, 2017 kwa risasi 16, alitaka kummaliza kabisa baada ya ya uhaguzi wa Oktoba 2020.

Isingekuwa wasamaria wema huko TISS kumtonya na kisha kuamua kukimbilia ubalozi wa Germany, Lissu tungekuwa tumemzika.

Muache aendelee na dhihaka zake dhidi ya Samia aliyemfanyia kila jema
 
Wakati Chadema wanafanya mkutano jana walijua ccm watafanya mkutano leo , wakawatafutia ajenda , ukisikiliza mkutano wa ccm leo kila mzungumzaji aliingia kwenye mkenge wa Lissu , Hapa Chadema imefanikiwa haswa
Akili kubwa na nyingi sana ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…