Aliyemkosea mwenzake atasamehewa.Sijaelewa.
Nani anasamehe hapo na nani anadamehewa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyemkosea mwenzake atasamehewa.Sijaelewa.
Nani anasamehe hapo na nani anadamehewa!
Kikubwa hatulali njaa bas mshahara unatosha mkuu....Kwa mshahara wangu na ombaomba mtaani wanaiona siku🙏Ndio maana mnapewa kofia na tisheti mnaiba kura kwa ajili ya ccm, wakimu hamnazo kabisa..
Ukilipa mishahara au kusalimia nchi ndio uuze nchi?
Badilikeni muwe na akili sasa mlete ukombozi, msidharauliwe tenaKikubwa hatulali njaa bas mshahara unatosha mkuu....Kwa mshahara wangu na ombaomba mtaani wanaiona siku[emoji120]
Sawa mkuuBadilikeni muwe na akili sasa mlete ukombozi, msidharauliwe tena
Wamejaribu upepo wa utanganyika na uzanzibari wameshindwa, wamejaribu upepo wa bandari wameshindwa, sasa wanaona hebu wajaribu upepo wa marehemu; duh mambo ni mengi muda ni mchache[emoji23]
Naina majizi mnafarijiana.Kote huko wakijaribu mama yuko very calm ..wananchi wanatumika vibaya kisiasa bila wao kujua nia yao hasa ikoje .ila ukiona kwa umakin utajua kuna chama hakitaki amani tz kinataman tuwe kama sudan ili wao pia wanufaike kimadaraka akat nchi ikiwa kwenye machafuko
Hapa ndipo nimeamini siasa zetu ni takataka,Tundulisu huyu amefikia hatua ya kumpamba Magufuli!!!Lissu ameanza kumkumbuka Magufuli kwa mazuri; ha ha ha🤣
Naina majizi mnafarijiana.
Mtapelekewa moto hadi mchoke
Mmmh"Nilihapa sitafanya mkutano Chato ila nitakwenda hata waweke mapolisi nitakwenda Chato, nitakwenda kumuasha Magufuli amka Magufuli amka uone wanavyofanya.
"Magufuli hakuiba tusimsingizie wala hakusaini huo mkataba, Magufuli mnajua mambo yake hakuwahi kuiba.
"Umewahi kuona wapi CCM wanazunguka nchi nzima kutetea Mkataba wa bandari, kuna nini, kuna maslahi yapi ya ziada, wameacha ilani yao wameamua wafe na Mwenyekiti wao!
"Nani kama Mama, Mama gani anauza mali za familia? Mama gani anagawa cha kwetu kwa watu tusiowajua? Mama gani anakula chakula cha watoto wake?
"Kama ni mwizi tutamuita mwizi, amegawa bandari zetu kwa Waarabu, atuambie manufaa ya huu mkataba yako wapi kwenye mkataba sio kupiga maneno na hayapo kwenye mkataba."
View attachment 2701509
Pia soma: Tundu Lissu: Hakuna Rais kwenye nchi hii amewahi kutufanyia kitu mbaya kama Rais Samia
Kwakweli dunia ni mzunguko, nimeamini..BUSH BIN LADEN ni Yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tunaimba naye wimbo mmoja.
Crimea
Ni yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwakweli dunia ni mzunguko, nimeamini..
Ni kama Yesu na Petro 😄😄Aisee basi sawa bwana Antipas Mughwai.