Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Una uhakika gani samia kaiba?kwa hayo maneno ya lisu bdo ujaona siasa ni unafki
Leo anamuona magu shujaa akati jana alimtuhumu kwa wiz na kutka kumuua
Mtu kama huyo leo anatoa kauli ingine afu unamuamin ?
Ignored!
 
as long as aliua watu ili to attain his goals, hafai kabisa!
NOTE: Lisu hampi sifa magufuli, bali anajaribu kulinganisha WAOVU. Kuna mwovu mwenye nafuu. Mwovu ambaye anaua hafai, mwovu asiyeua naye ana nafuu yake. Mwovu anayeiba kidogo (Magufuli) ana sifa zake.... Samia ameiba JUMLA

Pumba [emoji706][emoji1005]
 
Tweet ya suphian

kaka yangu
@TunduALissu
unamkejeli Rais
@SuluhuSamia
eti hatoshi umesahau ndiye:

1)Kiongozi wa juu pekee aliyekuja kukufariji Kenya na Ubeligiji

2)Kulipa mishahara, pensions za Ubunge

3)Kupatia passport4)Kulipia ndege kutoka Ubeligiji

6)Kufuta watu wasiojulikana

JITAFAKARI!!
 
Sasa Lissu yeye ndio miongoni mwa waliopotia mateso na Utawala wa Magufuli.

Anaona kuna afadhali ya Magufuli dhidi ya Samia katika Uongozi.

Hapo ulitakiwa ujipime tofauti yako wewe usie kubaliana na Lissu pia kabla ya kumpinga.

Hoja kubwa ya Lissu kua upande wa Magufuli katika hili ni Nchi hivyo Magufuli ana afadhali kubwa kuliko Samia.

Hawe alikua Dikteta au alipeleka Miradi kwa ubaguzi na mingine Mikubwa kwao au vyovyote lakini alitanguliza maslai ya Nchi mbele.

Kuna utofauti wa Lissu na Wanasiasa wengine pia na atakua ni Kiongozi wa aina yake kuwai kutokea.

Leo Lissu anatufunza kusamehe Mtu sio kwa maslai yake binafsi bali kwa maslai ya Nchi.

Lissu anaweka mateso ya kuuguza madonda aliyo pitia kipindi cha Magufuli Pembeni na anaungana naye kwa sababu ya kutetea Nchi.

Lissu anaweza kua anaumizwa na Atima ya waliotekwa na kupotezwa walio pata mateso na vilema lakini linapo kuja suhala la Nchi anatetea Nchi.

Hii ndio sifa ya Lissu mtafute katika kutafuta na kuchunguza Ukweli juu ya Atima ya wachimbaji wadogo wakaazi karibu na migodi ya Nyamongo na Buzwagi dhidi ya Makapuni ya Kigeni.

Alijitoa kwa dhati kutafuta Ukweli na aliweka Ukweli wazi.
Jambo lililo mpa heshima kubwa kwa jamii ya watu wa kanda ya ziwa na Watanzania.

Na ndio chimbuko lake la utetezi wa Rasilimali za Nchi na Nchi.

Hivyo katika maslai binafsi na ya wote Lissu atasimama katika maslai ya wote.

Katika hili jifunze kua Lissu anasema Nchi kwanza na hivyo Magufuli ana makosa.

Umetumia nguvu kumtetea ila jua kesho atabadilika tena uyo xo tunza maneno yako
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesikika akisema atakwenda Chato kufanya mikutano wa kisiasa lakini pia atafika nyumbani kwa Hayati Magufuli na kuona alipozikwa na hata kusali hapo.

Lissu anakwenda kuhiji kwenye kaburi la hasimu wake mkubwa zaidi katika maisha yake ya kisiasa ni ili amsamehe?

Lissu siku za karibuni amesikika akimtaja Magufuli kwa lugha “Rafiki “ na inayoashiria kuachilia moyo na kusahau yaliyopita. Jambo hili ni jema sana na linaonesha ukomavu mkubwa sana wa Lissu kisiasa na kiroho!
 
Rais anajikejeli mwenyewe kwa kufanya mambo kwa papara bila kuhusisha mfumo sahihi wa uongozi na bila kufuata na kuzitafakari sheria za nchi yetu.

Tundu Lissu anatamka kile chenye ushahidi wa matamshi na maandishi. Kila mahali ambapo Lissu ameenda, tunamwona akisoma vifungu vya sheria, katiba na mikataba ukiwepo huu wa kugawa bure nchi kwa mwarabu.

Sisi walipakodi tunapaswa kusikiliza yeyote anayetuambia ukweli. Hakuna mwenye mamlaka ya kutupangia tusikilize nini au tuseme nini.

Tusilazimishwe kuwa kama baadhi ya wajinga wachache mlioamua kujizima data na kuwaamini wapiga domo wa CCM
 
Tweet ya suphian

kaka yangu
@TunduALissu
unamkejeli Rais
@SuluhuSamia
eti hatoshi umesahau ndiye:

1)Kiongozi wa juu pekee aliyekuja kukufariji Kenya na Ubeligiji

2)Kulipa mishahara, pensions za Ubunge

3)Kupatia passport4)Kulipia ndege kutoka Ubeligiji

6)Kufuta watu wasiojulikana

JITAFAKARI!!
Stupid sufiani. kwa vile alikwenda nairobi, akiiba tusimseme? akili matope bado inasambaa
 
Basi yule Akida alijipigapiga kifua akasema Hakika Huyu Ni Mwana wa Mungu wa mbinguni!
 
Watu wanawasema mama zao waliobeba mimba miezi tisa,kwenda leba kuzaa na kulea na kusomesha sembuse rais.
Acha hizo Sufiani uchawa haupo hivyo.
 
Hoja za huyo Sufiani Papai ni za kitoto sana.Kwahiyo kwenda Wodini kumuangalia akikosea asimseme.Hii Nchi wa kulaumiwa ni Nyerere na Mazindiko yake ya kuwafanya Watanganyika Misukule.
 
Kwenye siasa hakuna urafiki na uadui wa kudumu, pengine baada ya kutoa hizo kashfa kwa mama yetu mpendwa, SSH, TAL alimpigia simu akamuomba radhi, wanasiasa wakikuambia kumekucha, toka nje ukathibitishe
 
Tweet ya suphian

kaka yangu
@TunduALissu
unamkejeli Rais
@SuluhuSamia
eti hatoshi umesahau ndiye:

1)Kiongozi wa juu pekee aliyekuja kukufariji Kenya na Ubeligiji

2)Kulipa mishahara, pensions za Ubunge

3)Kupatia passport4)Kulipia ndege kutoka Ubeligiji

6)Kufuta watu wasiojulikana

JITAFAKARI!!

Non Sense ,asingepigwa risasi hayo yangetokea?
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesikikika akisema atakwenda Chato kufanya mikutano wa kisiasa lakini pia atafika nyumbani kwa hayati Magufuli na kuona alipozikwa na hata kusali hapo.

Lissu anakwenda kuhiji kwenye kaburi la hasimu wake mkubwa zaidi katika maisha yake ya kisiasa je, anakwenda kumsamehe?

Lissu siku za karibuni amesikika akimtaja Magufuli kwa lugha “rafiki “ na inayoashiria kuachilia moyo na kusahau yaliyopita. Jambo hili ni jema sana na linaonesha ukomavu mkubwa sana wa Lissu kisiasa na kiroho!
Lissu hana kinyongo
 
Back
Top Bottom