Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mnadhani mtapata pointi kwa Lissu.Tangu jana naona unatapatapa kumsafisha chiba😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnadhani mtapata pointi kwa Lissu.Tangu jana naona unatapatapa kumsafisha chiba😂
Tweet ya suphian
kaka yangu
@TunduALissu
unamkejeli Rais
@SuluhuSamia
eti hatoshi umesahau ndiye:
1)Kiongozi wa juu pekee aliyekuja kukufariji Kenya na Ubeligiji
2)Kulipa mishahara, pensions za Ubunge
3)Kupatia passport4)Kulipia ndege kutoka Ubeligiji
6)Kufuta watu wasiojulikana
JITAFAKARI!!
Upuuzi mtupu.Mnadhani mtapata pointi kwa Lissu.
Ndio maana mnapewa kofia na tisheti mnaiba kura kwa ajili ya ccm, wakimu hamnazo kabisa..Kweli hapo kakosea ila ndo siasa....daah
Sahihi kabisa binaadamu tumemumba kusahau, yote aliyofanyiwa ameyasahau akumbuke Kuna maisha baada ya siasa.Tweet ya suphian
kaka yangu
@TunduALissu
unamkejeli Rais
@SuluhuSamia
eti hatoshi umesahau ndiye:
1)Kiongozi wa juu pekee aliyekuja kukufariji Kenya na Ubeligiji
2)Kulipa mishahara, pensions za Ubunge
3)Kupatia passport4)Kulipia ndege kutoka Ubeligiji
6)Kufuta watu wasiojulikana
JITAFAKARI!!
Anaenda kutemea mate na kuchekea moyoni. In short anaenda kumwambia mwenzako bado ninadunda na kula dona huku duniani"Mtanikumbuka kwa MEMA".
Alisema!
Sijaelewa.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesikika akisema atakwenda Chato kufanya mikutano wa kisiasa lakini pia atafika nyumbani kwa Hayati Magufuli na kuona alipozikwa na hata kusali hapo.
Lissu anakwenda kuhiji kwenye kaburi la hasimu wake mkubwa zaidi katika maisha yake ya kisiasa ni ili amsamehe?
Lissu siku za karibuni amesikika akimtaja Magufuli kwa lugha “Rafiki “ na inayoashiria kuachilia moyo na kusahau yaliyopita. Jambo hili ni jema sana na linaonesha ukomavu mkubwa sana wa Lissu kisiasa na kiroho!
Anaenda kuhiji kwa “dikteta uchwara”; ha ha ha chiba ni mnafiki aliyepindukia😂"Tuna Rais wa ajabu ,ninarudia tuna Rais wa ajabu" Tundu against JPM.
Wanasiasa vigeugeu sana kama malaya tu
Yote mema aliyomfanyia hayahalalishi yeye kuuza bandari.Tweet ya suphian
kaka yangu
@TunduALissu
unamkejeli Rais
@SuluhuSamia
eti hatoshi umesahau ndiye:
1)Kiongozi wa juu pekee aliyekuja kukufariji Kenya na Ubeligiji
2)Kulipa mishahara, pensions za Ubunge
3)Kupatia passport4)Kulipia ndege kutoka Ubeligiji
6)Kufuta watu wasiojulikana
JITAFAKARI!!
Mwizi ni mwizi tu hata kama atakufariji. Na kufariji siyo hongo yakumfanya akae kimya kwa wizi"Nilihapa sitafanya mkutano Chato ila nitakwenda hata waweke mapolisi nitakwenda Chato, nitakwenda kumuasha Magufuli amka Magufuli amka uone wanavyofanya.
"Magufuli hakuiba tusimsingizie wala hakusaini huo mkataba, Magufuli mnajua mambo yake hakuwahi kuiba.
"Umewahi kuona wapi CCM wanazunguka nchi nzima kutetea Mkataba wa bandari, kuna nini, kuna maslahi yapi ya ziada, wameacha ilani yao wameamua wafe na Mwenyekiti wao!
"Nani kama Mama, Mama gani anauza mali za familia? Mama gani anagawa cha kwetu kwa watu tusiowajua? Mama gani anakula chakula cha watoto wake?
"Kama ni mwizi tutamuita mwizi, amegawa bandari zetu kwa Waarabu, atuambie manufaa ya huu mkataba yako wapi kwenye mkataba sio kupiga maneno na hayapo kwenye mkataba."
View attachment 2701509
Pia soma: Tundu Lissu: Hakuna Rais kwenye nchi hii amewahi kutufanyia kitu mbaya kama Rais Samia
Hajakosea MkuuKaka hii ni 2023, na wewe uliandika 2025[emoji23]
Najua ulimaanisha 2015.
Sahihi kabisa.Mwizi ni mwizi tu hata kama atakufariji. Na kufariji siyo hongo yakumfanya akae kimya kwa wizi