Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Anajisahihisha,

Kauli ya Lissu, imeziba mpasuko uloasisiwa na wahuni wa kutugawa alipoingia tu Sa100.

Katika Issues za kitaifa, Tanzania ni priority no 2 baada ya Mungu.
Nakuhakikishia mbinu wanayotaka kutumia chadema itawaghalimu, wanalamba matapishi Yao, wangebaki kwenye hoja kuu na msimamo wao wanaouamini. Sio hii ya kuwa kigeugeu, nasikitika kuwa bado hatuna upinzani imara, Hawa wanaangalia upepo unakoelekea, hawatafaulu kamwe, wanajichimbia shimo
 
Nakuhakikishia mbinu wanayotaka kutumia chadema itawaghalimu, wanalamba matapishi Yao, wangebaki kwenye hoja kuu na msimamo wao wanaouamini. Sio hii ya kuwa kigeugeu, nasikitika kuwa bado hatuna upinzani imara, Hawa wanaangalia upepo unakoelekea, hawatafaulu kamwe, wanajichimbia shimo
Kurudi kwenye siasa za Kweli ni AFYA Kwa Taifa,

Mbona kinana Jana amesema, wapo wanaopinga mkataba Kwa Nia njema?

Penye UKWELI usemwe, siasa za kushupaza shingo hazina TIJA.
 
..amekiri na UOVU wa Magufuli.

..Lissu ni msemakweli.
Nadharia yangu ni kwamba, Magufuli hakumwelewa/hakumjua Tundu Lissu.

Lakini pia, kutokana na tabia alizokuwa nazo Magufuli, za kutotaka kuhojiwa na yeyote, na kule kupenda sifa kulimfanya afanye maamuzi ambayo hayakuhusiana na manufaa kwa Tanzania kwa kujaribu kumwondoa Tundu Lissu.

Tundu Lissu kwa upande wake, alichoona zaidi wakati huo akipinga aliyokuwa akiyatamka na kuyafanya Magufuli, alikuwa haangalii upande wa pili, ule wa mazuri ambayo wakati huu baada ya kuondoka Magufuli yanaonekana.

Vinginevyo, hawa watu wawili wangejua mambo wanayokubaliana na kuona kuwa ni ya msingi sana kwa taifa, inawezekana wangeweza kushirikiana katika kuyapigania mambo hayo, na kupunguza yale ambayo walikuwa hawaelewani juu yake.

Lissu anayo historia yake ya kupambania maslahi ya watu, pengine hata zaidi ya Magufuli kabla hajawa rais
 
Kuna maeneo umeweka sawa, ila Kuna mengine. Hapana ya kumuita Magu malaika hapo hapana. Maneno mengine nakuunga mkono.
Kwani kati ya mwanadam na malaika ni Nani mkubwa na bora mbele za Mungu? Je kumuita mwanadam malaika au malaika mwanadam, ipi ni kufuru kati ya hizo?

Ili ujibu nachokuuliza ni lazima uwe na elimu ya mambo ya Mungu. Labda nkwambie malaika ni mjumbe wa Mungu na yupo ili kutumikia Mungu na mwanadam.

Je nkisema John alikua Malaika kipi kinakushtua? Je wale malaika wawili walokwenda sodoma ambapo watu wa mji ule waliwaona walikua ktk hali gani Kama si ya kiutu ndo sbb watu walidhani wale ni watu. Kwani kipi kigumu mbele za Mungu? Ni kumfnya Malaika kua John au John kua Malaika?

Najua huelewi nacho uliza lkn yule hakua mtu wa kuwaida, aliunganishwa moja kwa moja na Mungu.mwenyewe.
 
Nadharia yangu ni kwamba, Magufuli hakumwelewa/hakumjua Tundu Lissu.

Lakini pia, kutokana na tabia alizokuwa nazo Magufuli, za kutotaka kuhojiwa na yeyote, na kule kupenda sifa kulimfanya afanye maamuzi ambayo hayakuhusiana na manufaa kwa Tanzania kwa kujaribu kumwondoa Tundu Lissu...
Hawa watu wangekuwa Timu moja tungeenda

Sasa walikuwa tofauti sasa hapo ndio utaona siasa ni opium fulani hivi
 
Usi generalise hii issue for no reason, Lissu amemzungumzia Magufuli specifically kwenye angle ya kulinda rasilimali za taifa, ndio amemsifia, lakini kama angegusa maeneo mengine, kama utawala bora na haki za binadamu, naamini story ingekuwa tofauti hapa, hata nawe ungekosa chakujitetea.

Tuliza munkari, just be specific.
Sasa Lissu yeye ndio miongoni mwa waliopotia mateso na Utawala wa Magufuli.

Anaona kuna afadhali ya Magufuli dhidi ya Samia katika Uongozi.

Hapo ulitakiwa ujipime tofauti yako wewe usie kubaliana na Lissu pia kabla ya kumpinga.

Hoja kubwa ya Lissu kua upande wa Magufuli katika hili ni Nchi hivyo Magufuli ana afadhali kubwa kuliko Samia.

Hawe alikua Dikteta au alipeleka Miradi kwa ubaguzi na mingine Mikubwa kwao au vyovyote lakini alitanguliza maslai ya Nchi mbele.

Kuna utofauti wa Lissu na Wanasiasa wengine pia na atakua ni Kiongozi wa aina yake kuwai kutokea.

Leo Lissu anatufunza kusamehe Mtu sio kwa maslai yake binafsi bali kwa maslai ya Nchi.

Lissu anaweka mateso ya kuuguza madonda aliyo pitia kipindi cha Magufuli Pembeni na anaungana naye kwa sababu ya kutetea Nchi.

Lissu anaweza kua anaumizwa na Atima ya waliotekwa na kupotezwa walio pata mateso na vilema lakini linapo kuja suhala la Nchi anatetea Nchi.

Hii ndio sifa ya Lissu mtafute katika kutafuta na kuchunguza Ukweli juu ya Atima ya wachimbaji wadogo wakaazi karibu na migodi ya Nyamongo na Buzwagi dhidi ya Makapuni ya Kigeni.

Alijitoa kwa dhati kutafuta Ukweli na aliweka Ukweli wazi.
Jambo lililo mpa heshima kubwa kwa jamii ya watu wa kanda ya ziwa na Watanzania.

Na ndio chimbuko lake la utetezi wa Rasilimali za Nchi na Nchi.

Hivyo katika maslai binafsi na ya wote Lissu atasimama katika maslai ya wote.

Katika hili jifunze kua Lissu anasema Nchi kwanza na hivyo Magufuli ana makosa.
 
Same to me, dhalimu kwangu amegoma kuniingia kabisa. Hata hizi sifa za Lissu namuona hana maana kabisa.
as long as aliua watu ili to attain his goals, hafai kabisa!
NOTE: Lisu hampi sifa magufuli, bali anajaribu kulinganisha WAOVU. Kuna mwovu mwenye nafuu. Mwovu ambaye anaua hafai, mwovu asiyeua naye ana nafuu yake. Mwovu anayeiba kidogo (Magufuli) ana sifa zake.... Samia ameiba JUMLA
 
Pumbavu kabisa huyu. Yeye si ndiye alikuwa anamtukana na kumuita kila aina ya maneno. Sasa ameona hana tija wala kukubalika kwenye jamii anajitafutizia kiki kupitia JPM.

Afu wananchi walivo mazwazwa yanamsapoti huyu mnafki.tz cjui tukoje yaani mtu unapelekeshwa kama upepo hata kesho akimtukana magu tena watu watamsapoti tuh
 
exactly this is what Lisu meant, not otherwise. Aliiba lakini siyo kama samia na genge lake. Kuna tenda nyingi zilifanywa na Mayanga construction Company ambayo ilikuwa kampuni yake, ALIIBA lakini siyo kama hii ya samia Mamndenyi

Una uhakika gani samia kaiba?kwa hayo maneno ya lisu bdo ujaona siasa ni unafki
Leo anamuona magu shujaa akati jana alimtuhumu kwa wiz na kutka kumuua
Mtu kama huyo leo anatoa kauli ingine afu unamuamin ?
 
Back
Top Bottom