Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Huyo chiba amekuwa mpuuzi wa kupindukia.Kwani alisemaga hana mazuri?
Siasa imefika pazuri naona mmelainishwa...sasa ni mwendo wa.....🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo chiba amekuwa mpuuzi wa kupindukia.Kwani alisemaga hana mazuri?
Siasa imefika pazuri naona mmelainishwa...sasa ni mwendo wa.....🤣🤣🤣
Usikute unamlilia Magufuli ehhee?!Pumzika kwa Amani Baba
Mungu Alitupa Pigo kubwa Watanzania 😭😭
Yameze tu MATUSI uliyomtukana Magu,Kwenye siasa sijui kuna nini. Mwanasiasa haeleweki.
Wapuuzi ni ninyi mafisadi na ukoo wenuHuyo chiba amekuwa mpuuzi wa kupindukia.
Haisaidii kitu. Chiba anatapatapa ili apate kiki, ha ha ha.Wapuuzi ni ninyi mafisadi na ukoo wenu
We mzee mgonjwa kaa ndani upone, ona unaropoka hujapona alaaHaisaidii kitu. Chiba anatapatapa ili apate kiki, ha ha ha.
Lissu amegundua, Ili njia yake iwe nyeupe kuelekea kunako,ALipoamururu auawe ndipo walipokeseana tu
Naona umeamua kusalimu amri.We mzee mgonjwa kaa ndani upone, ona unaropoka hujapona alaa
Hata mimi kwa sauti kubwa...kuliko kuungana na MSOGA bora niunge mkono SUKUMA Gang mara 1000Lissu amegundua, Ili njia yake iwe nyeupe kuelekea kunako,
Anamhitaji Magu amsafishie njia.
Atafanikiwa, kuliko kuungana na kundi la mgaso!!!
Tusubiri.
Kiafrika haipendezi kubishana na mgonjwa😂Naona umeamua kusalimu amri.
Unatapatapa kama chiba.Kiafrika haipendezi kubishana na mgonjwa😂
Rubbish, Lisu siyo kuwa anamuunga mkono magufuli, NO, A BIG NO! Ila anasema hakuiba na kama aliiba siyo kiwango cha kuuza bandari zetu. lakini he was instrumental katika kumpiga Risasi Lisu!Niliwambia zamani CDM,
Kumtukana Magu live jukwaani ni LAZIMA uwe umelewa kama kamanda Fulani pale furahisha.
Magufuli aliipenda Nchi hii na alikuwa MZALENDO 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Lissu kwann hukumkubali Akali akiwa hai🙏🙏🙏🙏????
Nenda Chato ukatubu, ingawa TOBA yako Si Rahisi kusikika sababu Nabii Magu, hayupo kaburini,
Yuko Mbinguni.
Mungu ibariki TANZANIA.
Amen.
We lafa kweli akatubu ,umemuelewa anasema ...kwenye hili .hakuna anayebisha kuwa jamaa miongoni mwa wana CCM alikuwa nafuu kwenye wizi!Niliwambia zamani CDM,
Kumtukana Magu live jukwaani ni LAZIMA uwe umelewa kama kamanda Fulani pale furahisha.
Magufuli aliipenda Nchi hii na alikuwa MZALENDO 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Lissu kwann hukumkubali Akali akiwa hai🙏🙏🙏🙏????
Nenda Chato ukatubu, ingawa TOBA yako Si Rahisi kusikika sababu Nabii Magu, hayupo kaburini,
Yuko Mbinguni.
Mungu ibariki TANZANIA.
Amen.
matumaini yapi yaliyopotea? Kumbe na wewe ni wale waleNi kauli ya mwisho ya kupoteza matumaini. No hope.