Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Niliwambia zamani CDM,

Kumtukana Magu live jukwaani ni LAZIMA uwe umelewa kama kamanda Fulani pale furahisha.

Magufuli aliipenda Nchi hii na alikuwa MZALENDO 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Lissu kwann hukumkubali Akali akiwa hai🙏🙏🙏🙏????

Nenda Chato ukatubu, ingawa TOBA yako Si Rahisi kusikika sababu Nabii Magu, hayupo kaburini,

Yuko Mbinguni.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen.
we fala kweli
 
We lafa kweli akatubu ,umemuelewa anasema ...kwenye hili .hakuna anayebisha kuwa jamaa miongoni mwa wana CCM alikuwa nafuu kwenye wizi!
Ila hakufaa kuwa Kiongozi wa juu...he was very poor,poor indeed,in managerial and Leadership Skills!
Unabishana na mm au Lissu aliyesema ktk video anaenda kutubu na kuomba msamaha chato?

Au bundle ni Tatizo!!
 
#MkutanoOkoaBandariZetuBukoba.

"Nilihapa sitafanya mkutano Chato ila nitakwenda hata waweke mapolisi nitakwenda Chato, nitakwenda kumuasha Magufuli amka Magufuli amka uone wanavyofanya" Tundu Lissu

"Magufuli hakuiba tusimsingizie wala hakusaini huo mkataba, Magufuli mnajua mambo yake hakuwahi kuiba" Tundu Lissu

"Umewahi kuona wapi CCM wanazunguka nchi nzima kutetea Mkataba wa bandari,kuna nini,kuna maslahi yapi ya ziada,wameacha ilani yao Wameamua wafe na Mwenyekiti wao" Tundu Lissu

"Nani kama Mama,mama gani anauza Mali za familia,Mama gani anagawa cha kwetu kwa watu tusiowajua,Mama gani anakula chakula cha watoto wake" Tundu Lissu

"Kama ni mwizi tutamuita mwizi,amegawa bandari zetu kwa waarabu,atuambie manufaa ya huu mkataba yako wapi kwenye mkataba sio kupiga maneno na hayapo kwenye mkataba " Tundu Lissu
Karata ya Magufuli itawafikisha Mbali. Mslogwe kumtukana
 
Huyu si alikuwa anabeza watu kuaga mwili
Akasema marehemu anazungushwa sana nk ujinga.

Hakujua kama kutakuwa Kuna kumkumbula,na hataonekana tena kwenye sura ya Dunia.

Sasa naye ameshamkumbuka kama sisi tu team Dikteta.
 
We lafa kweli akatubu ,umemuelewa anasema ...kwenye hili .hakuna anayebisha kuwa jamaa miongoni mwa wana CCM alikuwa nafuu kwenye wizi!
Ila hakufaa kuwa Kiongozi wa juu...he was very poor,poor indeed,in managerial and Leadership Skills!
Alisikika bwabwa Moja akisema
 
Niliwambia zamani CDM,

Kumtukana Magu live jukwaani ni LAZIMA uwe umelewa kama kamanda Fulani pale furahisha.

Magufuli aliipenda Nchi hii na alikuwa MZALENDO 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Lissu kwann hukumkubali Akali akiwa hai🙏🙏🙏🙏????

Nenda Chato ukatubu, ingawa TOBA yako Si Rahisi kusikika sababu Nabii Magu, hayupo kaburini,

Yuko Mbinguni.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen.
Wewe akili ndogo ....soma Nje ya box
 
Back
Top Bottom