Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hivi ukitoa tenda kampuni yako inachukua ikafanya kazi Kwa kiwango ni wizi? Wapumbavu nchi hii mtaisha lini?exactly this is what Lisu meant, not otherwise. Aliiba lakini siyo kama samia na genge lake. Kuna tenda nyingi zilifanywa na Mayanga construction Company ambayo ilikuwa kampuni yake, ALIIBA lakini siyo kama hii ya samia Mamndenyi