Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Usi generalise hii issue for no reason, Lissu amemzungumzia Magufuli specifically kwenye angle ya kulinda rasilimali za taifa, ndio amemsifia, lakini kama angegusa maeneo mengine, kama utawala bora na haki za binadamu, naamini story ingekuwa tofauti hapa, hata nawe ungekosa chakujitetea.

Tuliza munkari, just be specific.
Nakuelewa,

Tuungane kwenda CHATO kukiri UZALENDO wa Magu 🙏🙏🙏🙏
 
Pumbavu huyu!
Angeacha ujinga wake wa Uchama, sasa hivi angekuwa mkono wa kuume wa Magufuli wakituvusha katika Unyonge tulionao.
Pumbavu, Uccm na Uchadema umetugharimu mno.
 
Nchi nzima ijue uhuni wa CCM! Lissu nenda kanda ya ziwa kawatibue vizuri.
 
Usalama Wa nchi Yetu umevurugwa.

Bandari imegawiwa mabepari Wa kiarabu na kiamerika.

Dubai ni chambo tuu lakini Nyuma Yao wapo Wamarekani Kwa ajili ya kuiba Madini Yetu . Kudhibiti ndoto za Urusi na China kuteka Soko na rasilimali za Afrika.

Mama ameinguzwa chaka na kuhatarisha usalama Wa nchi. Hawa miaka yote ni wafadhili Wa ugaidi na magaidi Duniani kote wakishirikiana na Wamarekani . Ndio maana Suala la bandari limekuja Kwa kutumia fedha na Kununua watu na propaganda za Udini.

Kila MAHALI Afrika penye rasilimali kuna vurugu zinazohusisha Udini na ukabila . Wanifaikaji Wa vurugu hizo ni watawala na Wezi Wanaoitwa wawekezaji.

Watawala nchi inapokosa uelekeo wanakimbilia Huko wanakotoroshea Mali na fedha za umma.

Watanganyika wasipoamka nchi itauzwa na usalama Wa nchi Utakua tegemezi . Hapo ndipo ndoto za Wamarekani kujenga military base pale kigamboni itakapo timia Kwa sababu tu ya mikataba ya kimangungo .

Rwanda itatumika kudhibiti utajiri Wa Kongo na Tanzania kupitia bandari zetu na viwanja vyetu vya ndege.

Tuwekeze kwingine lakini sio bandari iliyopo Mita Chache Toka kwenye Kambi zetu za Majeshi Yetu ya JKT,JWTZ,Magereza na Polisi.
Tusikubaliane na Huu mpango Wa kuiteka nchi na wao wakimbile kuishi Dubai na familia zao. Sisi tunayategemea majeshi Yetu na hatuna pa kukimbilia.

Wao wameshapewa fedha za kuishi popote Duniani penye Amani na Kula bata.
Huu ujinga wenu wa kulazimisha kuingiza wamarekani kwenye hii issue, ili kuwafichia madhambi waarabu muwapendao hauna maana.

Hata kama hamuwapendi wamatekani kwa mambo mengine, msiwasingizie yasiyowahusu, haiwezekani mama yenu aende mwenyewe Dubai kutongozwa huko akatoa bandari zetu, kisha muwasingizie wamarekani.
 
Mshauri asiende kutubu CHATO!!!

Leo ni siku mbaya sana kwako, Rudi kwenye thread zako zote kumtusi Magu uombe radhi!!!
MAGU NI SHETANI NA HUKU LILIKO LINAUNGUA MATAKO. He killed a lot of people

1690561738724.png
 
Usi generalise hii issue for no reason, Lissu amemzungumzia Magufuli specifically kwenye angle ya kulinda rasilimali za taifa, ndio amemsifia, lakini kama angegusa maeneo mengine, kama utawala bora na haki za binadamu, naamini story ingekuwa tofauti hapa, hata nawe ungekosa chakujitetea.

Tuliza munkari, just be specific.
Kwahy kumbe utawala bora ni tofauti na kulinda rasilimali za taifa.? Bc sawa, chadema akili zenu mnazijua wnyw na sasa hivi mdogo mdogo maji yanajitenga na mafuta
 
Hata Hawa Wahuni wauza Bandari, kuanzia mwaka 2024, wataanza kulitaka jina la Magufuli.
Ikiwa juna lake linasaidia kuwazuga Misukule yake ili kura zipatikane tutalitumia tu.
Tutampamba japo kinafiki tu ili mradi tutoboe then baada ya uchaguzi......
 
Lissu Kuna mambo ya JPM hayakubli,ilo ni kawaida,ila kwenye vitu vya Msingi ni lazima tuwe wakweli
Exactly, kuna mambo ya magufuli hayakubaliki, lkn kwa wizi magufuli aliiba kidogo. kwa mfano, kwanini Kampuni ya mayanga construction ilipewa tenda za serikali bila kufuata pendering process...nani alipitisha ujenzi wa chato airport, Chato referl hospita , soko, shule etc etc.
Aliiba lkb samia katia fora ametuuza hata sisi , kesho DP world anaweza kusema nyinyi ni watumwa wangu
 
Ya Nyerere siyajui sana lwa sababu zama zake sikuwa na hizo akili, ila kwa uzalendo sidhani kama kuna kiongozi anamfikia JPM.

Imagine mtu alitandikwa 30+risasi tena kipindi cha Magu lakini anakiri namna hii, mimi ni nani.
Ni sawa na wazazi wako, ht wakosee vp watabaki kuwa wazazi wako 😂.
Magufuli for everybody
 
Pumbavu kabisa huyu. Yeye si ndiye alikuwa anamtukana na kumuita kila aina ya maneno. Sasa ameona hana tija wala kukubalika kwenye jamii anajitafutizia kiki kupitia JPM.
Yes, na kuna wajinga anawapata kwa Kiki hiyo hiyo
 
Akija kumuamsha jpm atanikuta hapo maana mimi ndo mlizi hapo kazi yangu ni kusafisha lile kaburi.

Nilijua siku itafika kila kiumbe atamlilia magufuli.

Ka mange kameisha kili umuhimu wa jpm sasa lissu kakili vip lema huko?

Hakuna kama jpm.

Wanao msindikiza lissu kumuamsha jpm nyoosha mkono!!
 
Usi generalise hii issue for no reason, Lissu amemzungumzia Magufuli specifically kwenye angle ya kulinda rasilimali za taifa, ndio amemsifia, lakini kama angegusa maeneo mengine, kama utawala bora na haki za binadamu, naamini story ingekuwa tofauti hapa, hata nawe ungekosa chakujitetea.

Tuliza munkari, just be specific.
mimi nina wtu kama 150 ambao nimewablock, maana ni useless kubishana nao hapa JF
 
Back
Top Bottom