Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Alikua anakusanya kulingana na mahitaji na idadi ya watu.Nyerere alikuwa anakusanya kodi kiasi gan bila Tra?
Pili Mgombea Lissu wa CHADEMA anasema Ilani yao ni kufanya reforms kwenye TRA kwani apo kuna kosa gani maana tangu ianzishwe imeishafanyiwa reforms pia nyingi ila sasa CHADEMA wanasema zilizofanyika hazina tija!