digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu huyo lissu ni mgonjwa,taratiby utaanza kumshitukia,utawala unaoheshimu Sheria ni mzuri Sana ,acha Sheria iamue uzuri au ubaya wa sabaya na si sisi raiaIfike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa Chadema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi sera na ajenda za wanachi.Hapo lazima kuna ugomvi na mwenyekiti wake.
Haiitaji kumfahamu mtu personally kujua tabia zake hasa hawa public figures ambao sehemu kubwa ya vitu wanavyofanya kila siku vinawekwa hadharani,hivi tunapofanya uchaguzi wa viongozi huwa tunawapima kwa kuwajua personally?Watz ni rahisi sana kumuamini mtu kisa tu ni mtu wa maneno mengi na mkali mbele ya cameras! Ujinga huu ndio ukasababisha tupate mtawala kama Magu! Kipi kimekufanya utamke hayo uliyotamka? Unamfahamu Lissu personally?
We umejuaje?humjui tal wewe, akipata Madalaka ni dikteta kamili .
Mbona Mbowe aliiba magari weeeee! Leo hii ana nafasi ya kuhutubia watu?Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Tuzingatie SheriaIfike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Usikute huyu ndio alikupiga shabaIjapokuwa Ole Sabaya anatuhumiwa kufanya uovu mkubwa wakati akiwa DC Hai, alipaswa kufunguliwa mashtaka ya jinai kortini. Kwa TAKUKURU kumweka mahabusu kwa wiki nzima ni kukiuka sheria za nchi yetu & kuendeleza tabia ya ukiukaji wa haki za binadamu ya vyombo vyetu vya usalama!
Bonge ya somoMtu wa haki na mtu wa Mungu Lissu hana kinyongo pamoja na marisas yote yale.Na huyu Sabaya aliandaa kundi la vijana kumpiga mawe wakati wa kampeni.
Somo kubwa kwa shetani Sabaya na shetani mkuu wake aliyeenda
Wewe unaamini hivyo?Dah kweli Dunia inazunguka,eti leo hii Sabaya yupo mikononi mwa Kamanda Hamduni,aiseee kweli kabla hujafa hujaumbika.
Shetani ni yule aliemrisha Lissu apigwe risasi 16Shetani ndivyo alivyo
Jf sihami! kkkkMkurugenzi wa Takukuru ana kofia mbili ni mkurugenzi wa Takukuru na kamishna wa polisi
Huenda kamishna Hamduni alitumia kofia zote kumuweka mahabusu
Sheria apelekwe mahakamanIfike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Bwana unaongea kitoto! Lugha kama Sabaya mwenyewe.Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Lugha aliyoitumia hujaielewaIfike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!
Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?
Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
You are too low to understand this languageHapo lazima kuna ugomvi na mwenyekiti wake.
Yageuze kibao mara ngapi?Namuelewa sana Tundu Lisu. Hawa maccm tukiyaacha yakiuke sheria kwasabb tu anayeteswa ni yule tusiyempenda (Sabaya), kuna siku yatageuza kibao kwa watu tunaowapenda.