Na kwakuwa yeye mh Lissu anawajua hao jamaa jinsi ya kucheza nao mahakamaniYes. Yeye anatetea haki......
Mfano mkurupukaji jiwe anafanya mambo ya hovyo kwann wasimtumiw nguli wa sheria Bwana Lissu?????
Kama tunavyofanya kwenye mambo ya miundo mbinuIkitokea tunampa nchi halafu kesi zinaendelea mahakamani kama wakili anayeziwakilisha anaenda tena kuibana Tz.
Lembeli mwenyewe maji ya shingo pale kahama kapigwa za uso na KishimbaKale ka msemo ka Mzee Lembeli kwamba "ka upepo kameshapiga........"
Kametimia!!
Basi itakubidi uwe mvumilivu mkuu maana tayari nchi inaenda kukabidhiwa kwa wapinzani wa ccm.Nchi nyingi zilizo/zinazo (kuwa/tumia) mfumo wa Ujama ni ngumu sana kuachia Dola walioitafuta kwa jasho la kutokomeza ukoloni.
Ili kuipata Dola ni lazima muungane nao ili kueneza itikadi zenu za kizalendo (mjifanye nanyi ni wajamaa), ingawa ni vigumu kupitia huko na kuja kuwa bepari.
Ni kweli hali ya maisha ni ngumu, kinachofanya maisha yanakuwa na nafuu kidogo ni kwasababu ya kuishi kijamaa.
Nchi hii ili iendelee ni lazima kung'oa mizizi ya ukoloni mamboleo na kuwa kitu kimoja katika ujenzi na keki ya Taifa.
Sipingi mfumo wa vyama vingi lakini napinga mtindo wanaoutumia kushika Dola.
Kwahiyo wewe furaha yako unataka auawe?Hizo ni kesi zilizochochewa na Lisu mwenyewe na Zito alafu anakuja kudai natishiwa kuuwawa.
U communist haujawahi kutoa nchi yoyote mrisi . Hata Tanganyika haiwezi kutoka mrisi kupitia Ccm na hasa ukomunisti.Nchi nyingi zilizo/zinazo (kuwa/tumia) mfumo wa Ujama ni ngumu sana kuachia Dola walioitafuta kwa jasho la kutokomeza ukoloni.
Ili kuipata Dola ni lazima muungane nao ili kueneza itikadi zenu za kizalendo (mjifanye nanyi ni wajamaa), ingawa ni vigumu kupitia huko na kuja kuwa bepari.
Ni kweli hali ya maisha ni ngumu, kinachofanya maisha yanakuwa na nafuu kidogo ni kwasababu ya kuishi kijamaa.
Nchi hii ili iendelee ni lazima kung'oa mizizi ya ukoloni mamboleo na kuwa kitu kimoja katika ujenzi na keki ya Taifa.
Sipingi mfumo wa vyama vingi lakini napinga mtindo wanaoutumia kushika Dola.
Dr Kibuta Ogwamuhana...hapana.
..huko wanakwenda mawakili wenye leseni na usajili wa kutetea kesi ktk mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji.
..hakuna wakili hata mmoja toka Tz mwenye usajili ktk mahakama hiyo.
Apewe nchi, afumue mikataba kwa kufuata sheria sio ubabe kama wa fulaniSolution please
Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni, kwa mwaka huu pekee makampuni matatu yametushtaki kwenye mahakama za kimataifa" Amesema Lissu bila kubainisha haya makampuni.
My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
Ala...tayari nyeti nje mkuu!!,Lembeli mwenyewe maji ya shingo pale kahama kapigwa za uso na Kishimba
Fungua uelewa wako tafadhali acha UKASUKUMwambie lisu tumeshitakiwa pia MIGA [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Unaamini bila ushahidi?!
Bure kabisa wewe!
..burden of proof iko kwa serikali kuonyesha kwamba haishtakiwi.
Muongo ni mamviLissu muongo sana jamani khaaa.
Kwahiyo tunaogopa kushitakiwa !!!!!!Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni, kwa mwaka huu pekee makampuni matatu yametushtaki kwenye mahakama za kimataifa" Amesema Lissu bila kubainisha haya makampuni.
My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
Lissu akili kubwa sanaMnajua kuwa siasa ni sanaa?
Hapa Tundu Lissu, karusha ndoana yenye mnovu wa nyama kwenye maji...
Samaki (Praise Team Magufuli) wakirogwa tu kuikimbilia kula huo mnofu (kukana au kukanusha kisiasa) ndipo watanaswa na FACTS kutolewa....!!