Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Shkamoo Lissu kamata hapohapo🤣🤣
Shkamoo Lissu kamata hapohapo🤣🤣
Aisee!Kama Kuna mtu anapata pressure za Tundu Lissu kipindi hiki cha Kampeni basi ni Bwana John Joseph Pombe MAGUFULI.
Muziki wa TAL-2020 siyo was kawaida kabisa. Pressure ya Lowassa kwa Magufuli mwaka 2015 ilikuwa cha mtoto!
Hatukuchanga hela za kujenga miundombinu, kama serekali ingejenga kwa chanzo kingine cha mapato sawa.Uongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Aisee!
Bado sana, Lisu ni mtoto mdogo sana mbele ya ccm na Magufuli
Acha kutisha watu wewe. Wewe nani?Lissu kwanini anaropokaropoka thovyo,anatakiwa ajuwe kuwa JPM bado ni Rais anapaswa kuchunga kaulizake.