Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

Ulitaka wasiwatumie wasanii ? Ninyi hamna pesa msitake kujilinganisha na CCM , af kwa mlivyo wajinga mnafikir hata bila wasanii watu hawawezi kujaa ? Acheni kufarijiana!
Kumbuka mpo kwa miaka inakaribia 60 Sasa bla bla tuu hamna chochote cha maana
 
Uongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Wachangaji rambirambi walichangia kujengea reli au kuwafidia wananchi husika? uliambiwa zilikuwa ni hela za kiongozi au wananchi?
 
Ha ha ha, aisee bora Mungu amesikia kilio cha watanzani amemponyesha lisu aje atusaidie kumkandika ukweli huyu mwokozi wa lugola, maana wanaume wote kwa miaka 5 tulikuwa tumesiginwa kama george floyd! We were not breathing!
 
Zilichangwa pesa za maafa ambazo kazi zake ni kuhakikisha kuwa mindombinu inakuwa imara na thabiti kwa ajili ya kuwalinda na kuimarisha eneo husika lilioathirika.
Watanzania tulichangia michango mbali mbali ili kuwasaidia wenzetu (wahanga wa tetemeko) na sio kujenga miundombinu. Kurekebisha na kujenga miundombinu ni jukumu la serikali.

Magufuli alikula michango ya wahanga wa tetemeko hilo linajulikana, no discussion on that.
 
Zilichangwa pesa za maafa ambazo kazi zake ni kuhakikisha kuwa mindombinu inakuwa imara na thabiti kwa ajili ya kuwalinda na kuimarisha eneo husika lilioathirika.

Unachoongea hapa ujue Kuna watu Wana akili kuliko wewe....!!!
Tunaomba ujibu maswali haya rahisi kabisa:
  1. Je, tetemeko liliathiri Barabara, reli, shule na Zahanati peke yake?
  2. Je, Hakuna watu waliopoteza maisha?
  3. Je, Hakuna nyumba zilizovunjika/bomoka?
  4. Je, waathirika wa swali #2 na #3 walifidiwaje?
Twende kazi.
 
Kama kweli watu wameamua kukesha kwa sababu ya Lissu ni hatari. Jamani nataka niwaambie ukweli, J P M hajui uhalisia huu. Anadanganyika na watu wanaoenda kuwatazama wasanii, hawa wasanii wanapofanya mambo yao, huwa ni aghali sana, leo wanafanya mambo yao bure kwa nini watu wasikimbilie? Nyinyi ccm haki ya Mungu msipoliangalia vizuri hili tarehe 28 octoba mnaenda kufa, nyie endeleeni kujifariji, uchaguzi huu upo tofauti na tulivyozoea.
Wamesha poteana,Kila mmoja Ana uelekeo wake sasa,bado kidogo hataa washindwe kuwasiliana kwa lugha.
 
Yanapotokea maafa huwa hakuna utaratibu wa kujenga nyumba za watu binafsi, inaanza kuboreshwa miundombinu kwanza itakayoweza kuisaidia jamii kupata ahueni katika kuimarisha maendeleo hayo.

So waliobomokewa nyumba wanakaa kwanza nje wakipigwa na mvua na jua kusubiri barabara zijengwe kwanza?
Hii kanuni imeandikwa wapi au page gani katika ilani ya chama
 
Zilichangwa pesa za maafa ambazo kazi zake ni kuhakikisha kuwa mindombinu inakuwa imara na thabiti kwa ajili ya kuwalinda na kuimarisha eneo husika lilioathirika.

Raia gani wanachangia miundombinu? Kawaida raia hutoa michango kwa ajili ya misaada ya kibinadamu kwa wahanga. Isitoshe, tatizo kubwa zaidi ni lugha ya rais. Lugha ya rais ilionyesha kutoguswa kabisa na maafa hayo.

Hata kama Serikali iliamua kutotumia michango kutoa misaada ya kibinadamu, rais alistahili kutumia lugha ya unyenyekevu badala ya lugha ya kuudhi.
 
Kiufupi ziara za mapumziko Dodoma hazitoisha-Lissu anagonga vilivyo

Kwa hoja za Mhe. Tundu Lissu kambi ya CCM hawako salama. Hapa ndipo tunapoweza rejea kauli ya Rais mstaafu Jakaya Kiwete alipotamka hadharani kuwa ni afadhali kuwa na KINA DR. SLAA 10 BUNGENI kuliko kuwa na TUNDU LISSU 1 BUNGENI!!
The man is very good upstairs!
 
Alwatan kafikiria...Hela za maafa zinapitia kwenye mfuko maalum wa maafa na lengo lake ni kusaidia katika Huduma za kijamii za muhimu hivyo hata Hela zilizotolewa zilitumika kurekebisha miundombinu ya Huduma za kijamii zilizokua zimeharibika kama Hospital, Mashule na Mengineyo.

Niliskia hili.

Au kuna namna zilifanyiwa nini?
Lisu angewagawia mkononi halafu huduma za jamii baadae. Kenge wa kiwango cha lami.
 
Sisi wananchi wa Kagera tumemuelewa na ndio maana tulimzomea na alikosa watu mpaka wakaamua kujaza vitoto vya shule na kusafirisha watu kwa maloli na mabasi toka karagwe, misenyi muleba na bkb vijijini.

Ungekaa kimya ukaelewa
Uongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
 
Kwahiyo anataka rais anaekula rambaramba au..??
Unaposema alikula ina maana alifanyia mambo binafsi. Kama alitumia kurekebisha miundombinu na huduma za jamii, utasemaje alikula?
 
Kama una maanisha utoto kwa Umri Kati ya Lissu na Magufuli uko sahihi!

Lakini kama ni swala la kujenga NGUVU YA HOJA, nakuhakikishia. Magufuli si lolote mbele ya Lissu!
Amemaanisha ukubwa wa akili na uwezo wa kujenga hoja.
 
Hicho kitendo ilikuwa ni utapeli, kama angeweka wazi kuwa rla hizo ni kwajili ya kujenga masuala ya kijamii km alivyofanya hasinge pata ata senti.

Kuaminisha wachangiaji suala la uongo huo purely ni UTAPELI
https://www.jamiiforums.com/data/at...a_Kagera.__Wananchi_wa_Kagera__480_X_480_.mp4
Hii tabia ya uropokaji wa Rais Magufuli kwa Sasa una mgharimu vibaya Sana!!!!
Tindulissu aache mambo yake kabisa.

Huduma za kijamii ni msingi Sana zile fedha walipewa waliweka kwenye huduma zaa kijamii zilizoharibika isingekua Rahisi kila mtu kupewa fedha.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom