Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ukiwa ni mtu wa kufikiria kwa kiwango cha kawaida tu huwezi kumpa Lissu heshima ya ziada.Uongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Yaani huhitaji kuwa na shahada tatu au profesa.