Azizi J Hamad
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 442
- 230
Tatizo lenu wapinzani mkiambiwa ukweli, hamtakiWacha kutufanya majuha wewe! Mie nichangie pesa zangu kusaidia waliopatwa maafa ya tetemeko halafu atoke dikteta azielekeze kwingine!? 😳😳😳😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lenu wapinzani mkiambiwa ukweli, hamtakiWacha kutufanya majuha wewe! Mie nichangie pesa zangu kusaidia waliopatwa maafa ya tetemeko halafu atoke dikteta azielekeze kwingine!? 😳😳😳😳
RelaxUzuri wewe kwa lisu ni kama mkia wa dagaa tu endelea kushauri
Kwa hiyo ulitaka wajengewe nyumba zao halafu wasome vyumbani kwao? Si ndio?Hata pasipo maafa miundombinu lazima ijengwe hilo ni jukum la serikali lkn nyumba au mahitaji ya lazima wakati wa maafa lazima yakabiliwe na michango iliyotolewa kwa wakati huo.
Uongo pia, tatizo hatujazoea kuambiwa ukweliTanzania haina mfuko wa maaafa...huyu JIWE wa CHARTTLE kachukua hela zote..na kuzipangia matumizi kibabe..bila kufuata utaratibu...ANAFANYA HII nchi Kama shamba la bibi yake..anajichumia tu
Hahahaha, yalikuwa maafa gani na ya mwaka gani?Kenya,Marekani,Ulaya wanajengea wananchi wao
Inabidi tuwaambie ukweli tuNdugu hao ndio wazalendo wa siku hizi😂😂😂😂😂😂
Alicho sema kina ukweli ndani yake ama uongo?Lissu kwanini anaropokaropoka hovyo,anatakiwa ajuwe kuwa JPM bado ni Rais anapaswa kuchunga kaulizake.
Mbona hotuba za Lissu nyingi sio kweli na pia anatumia taarifa za JF tu??Hata mimi ningesikia mondi ama kondeboy yupo live bure bure aisee ningeenda kucheki mauno ya bure!!
Tatizo lenu wapinzani mkiambiwa ukweli, hamtaki
Kwa hiyo ulitaka wajengewe nyumba zao halafu wasome vyumbani kwao? Si ndio?
Kwa hiyo mfano baada ya siku mbili yangetokea maafa mengine makubwa sehemu nyingine na wao wangepewa msaada gani? Au wengejengewa nyumba ngapi?Wewe uliona wapi serikali inachukua rambirambi kujenga miundombinu badala ya fungu la maafa ambalo linapitishwa na Bunge?
Hakuna namna maana ukweli utatuweka huruInabidi tuwaambie ukweli tu
Kwahiyo huo uwanasheria wake ndio kigezo cha kuropoka na kupotosha watu kwenye vitu vya msingi.Lisu ni mwanasheria anajua anachokifanya. Magufuli ni Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha mapinduzi (CCM), Ndo maana sahv anavaa nguo za Chama
Mbona Chadema ilikwisha kufa baada ya akina Lijualikali kuihama na Takukuru kuwahoji viongozi wake.Kama Kuna mtu anapata pressure za Tundu Lissu kipindi hiki cha Kampeni basi ni Bwana John Joseph Pombe MAGUFULI.
Muziki wa TAL-2020 siyo wa kawaida kabisa. Pressure ya Lowassa kwa Magufuli mwaka 2015 ilikuwa ni cha mtoto!!
Kumbe ni wewe mtoto! Ukikua utaelewa na kuwa mtoto mzuri.Tulia tulia dawa ikuingie taratibu, ukitikisia sindano itakuvunjikia.
1.rudisha kumbukumbu zako vizuri, pesa zilienda kuboresha majengo ya msingi na sio reli.Unachoongea hapa ujue Kuna watu Wana akili kuliko wewe....!!!
Tunaomba ujibu maswali haya rahisi kabisa:
Twende kazi.
- Je, tetemeko liliathiri Barabara, reli, shule na Zahanati peke yake?
- Je, Hakuna watu waliopoteza maisha?
- Je, Hakuna nyumba zilizovunjika/bomoka?
- Je, waathirika wa swali #2 na #3 walifidiwaje?
1.rudisha kumbukumbu zako vizuri, pesa zilienda kuboresha majengo ya msingi na sio reli.
2.Watu kupoteza maisha ni jambo la kawaida kwenye maafa, na taratiu mbalimbali zilifuatwa kupewa heshima za mwisho.
3.Nyumba zilizovunjika zilikuwepo na watu walipewa vifaa mbalimbali kuweka sawa nyumba zao, hadi ikafikia wakati wengine wakaanza kubomoa nyumba zao ambazo hazikuharibiwa na janga la tetemeko.
3.kwanza fahamu maana halisi ya fidia, majanga ya asili huwa hayana fidia, halafu pili waathirika halali walipata fungu lililotokana na michango ya maafa ili kujiimarisha. Ila wadanganyifu wote hawakupata fungu hilo.
Mnacho kosea ndugu zangu ninyi ni kuamini kwamba rais ni mtukufu hatakiwi kusemwa kwa baya lolote lile hiyo nayo ni aina nyingine ya ulavu.Lissu kwanini anaropokaropoka hovyo,anatakiwa ajuwe kuwa JPM bado ni Rais anapaswa kuchunga kaulizake.