Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

Uongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Ukiwa ni mtu wa kufikiria kwa kiwango cha kawaida tu huwezi kumpa Lissu heshima ya ziada.

Yaani huhitaji kuwa na shahada tatu au profesa.
 
Uongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Serikali ilichangiwa na Nani? Waliochangiwa Ni homeless people, serikali ikapora fedha
 
Hivi siku hizi CHADEMA 'hawana ilani maaana jukwaani sioni Sera zao

Mimi nipo huku mazinde simuelewi kabisa
Aongelee ndani ya ilanii ya chama inasemaje.... Kuwatimizia watanzania wote kwa kila Jimbo Tanzania
 
CCM na Watendaji wenu mnapashwa kuja na majibu kuhusu vijana ambao hawako kwenye ajira, elimu au vyuo vya ufundi.

Yes mmenunua ndege, Mmjenga flyover, mmekomesha ufisadi n.k lakini hawa vijana wa Geita, Bukoba sehemu kama hizo wanaonekana kama wameachwa nyuma.

Mnajinadi kama pesa mnazo, basi watafutieni programu za kujifunza kilimo cha kisasa, kujiajiri, ufundi n.k ili waweze kupambana na yanayokuja mbele.
 
Kama Kuna mtu anapata pressure za Tundu Lissu kipindi hiki cha Kampeni basi ni Bwana John Joseph Pombe MAGUFULI.

Muziki wa TAL-2020 siyo wa kawaida kabisa. Pressure ya Lowassa kwa Magufuli mwaka 2015 ilikuwa ni cha mtoto!!
Lowassa alikuwa hana hoja chokoza dhidi ya Jiwe sasa, miaka 5 ya jiwe imempa hoja nyingi sana TL. Ndio siasa ilivyo mwache tu apate pressure kwa aliyokuwa akiyaropoka mwenyewe kipindi cha nyuma.
Watu wananukuu tu na kuporomosha 😂😂
 
Uongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Kenya,Marekani,Ulaya wanajengea wananchi wao
 
WanaKagera wana jambo lao Oktoba 28 mwaka huu....tuwapishe!

Suala la rambirambi kwa kweli serikali ilicheza faulo....haikutenda haki kwa wanakagera na hata kwa sisi tuliochangia. Muda wa kulipa sasa.
 
Uongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Tanzania haina mfuko wa maaafa...huyu JIWE wa CHARTTLE kachukua hela zote..na kuzipangia matumizi kibabe..bila kufuata utaratibu...ANAFANYA HII nchi Kama shamba la bibi yake..anajichumia tu
 
Uongo Uongo Uongo, yani mgombea urais unathubutu kuidanganya kadamnasi. Hufaia kuiongoza Tanzania. Umeona wapi popote pale duniani ambapo maafa yanatokea halafu serikali inakimbilia kujenga nyumba za watu binafsi kabla ya kujenga miundombinu ya eneo husika liliathirika?
Sio kwa fedha za rambi rambi lakini
 
Yanapotokea maafa huwa hakuna utaratibu wa kujenga nyumba za watu binafsi, inaanza kuboreshwa miundombinu kwanza itakayoweza kuisaidia jamii kupata ahueni katika kuimarisha maendeleo hayo.
Hata pasipo maafa miundombinu lazima ijengwe hilo ni jukum la serikali lkn nyumba au mahitaji ya lazima wakati wa maafa lazima yakabiliwe na michango iliyotolewa kwa wakati huo.
 
Hahaaa mnajidanganya kwakua watu hawawezi kutoka hadharani. Ila yaliyo mioyoni mwa watu ni mazito.

Sisi tunaokaa huku chini tunaelewa
Watoke hadharani kwenda wapi sasa?

Subiri oktoba uone utoto wa Lisu ulipo
 
Back
Top Bottom