Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

Hatukuchanga hela za kujenga miundombinu, kama serekali ingejenga kwa chanzo kingine cha mapato sawa.

Si bora waathirika wangeweka namba zao za simu tuwarushie moja kwa moja.
Zilichangwa pesa za maafa ambazo kazi zake ni kuhakikisha kuwa mindombinu inakuwa imara na thabiti kwa ajili ya kuwalinda na kuimarisha eneo husika lilioathirika.
 
Hata mimi ningesikia mondi ama kondeboy yupo live bure bure aisee ningeenda kucheki mauno ya bure!!
 
Yanapotokea maafa huwa hakuna utaratibu wa kujenga nyumba za watu binafsi, inaanza kuboreshwa miundombinu kwanza itakayoweza kuisaidia jamii kupata ahueni katika kuimarisha maendeleo hayo.
Huo utaratibu wa wapi?

Hela tuliwachangia waathirika, hatukuchanga serekali ikajengee miundombinu.

Ilitakiwa ile hela iwafikie direct waathirika kama tulivyoamua kuwachangia.

Hayo ya miundombinu serekali yenye Hela inayokusanya kodi kubwa kuliko serekali yeyote iliyopita ingejenga.
 
Siku Lissu atakapojua tofauti yake na Bi. Kijo Bisimba muda utakuwa umeishapita na rais atakuwa naapishwa!

Kuna tofauti kubwa kati ya uanaharakati na siasa, zile kiki alizopata bungeni akimuhenyesha Anne Makinda anadhani zinatamba kwenye jukwaa la kuomba kura! Huku ni kuonyesha Ilani na mikakati ya kuwainua wananchi na sio nani alijisaidia kibarazani wakati mavi yenyewe yameishakauka na hayanuki tena!
 
Waliopelekea Leo kujikuta kwenye mbinyo was kiwango hiki wanatafutwa,Kama mmojawapo jitokeze kwa hiari yako.usisubiri kutafutwa.
 
Yanapotokea maafa huwa hakuna utaratibu wa kujenga nyumba za watu binafsi, inaanza kuboreshwa miundombinu kwanza itakayoweza kuisaidia jamii kupata ahueni katika kuimarisha maendeleo hayo.
Unaacha kujenga shule na hospitali zilizobomoka unamjengea mtu nyumba! Hawa watu watauza nchi hawa!
 

Sky Eclat,
Natamani nikurushie moja bariiiidi...!!
Umenifurahisha Sana kwa mchango wako.
Naungana na wewe kama siyo Wasanii walionunuliwa na Bwana Slowslow CCM hawapati mtu kwene Kampeni. Huu uchaguzi ni very unique....!
 
Kwani rambirambi zilitolewa wahanga au serikali?
 
Wa MUJINI husema Lissu anapiga MULE MULE 😂😂
 
Ulitaka wasiwatumie wasanii ? Ninyi hamna pesa msitake kujilinganisha na CCM , af kwa mlivyo wajinga mnafikir hata bila wasanii watu hawawezi kujaa ? Acheni kufarijiana!
 
Sky Eclat,
Natamani nikurushie moja bariiiidi...!!
Umenifurahisha Sana kwa mchango wako.
Naungana na wewe kama siyo Wasanii walionunuliwa na Bwana Slowslow CCM hawapati mtu kwene Kampeni. Huu uchaguzi ni very unique....!
Humphrey ana dhambi sana, alimuaminisha mzee kuwa wale watu wanakwenda kumsikiliza yeye. Viber halisi ya uchaguzi mzee aliisikia kwa Nshomile. Sasa hali ya afya ya mzee inaleta mgogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…