Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Umetoka usingizini ww wakati anatoa hiyo pesa alikua kama rais au mgombea
Hayo ataieleza mahakama kama alitoa kama nani, cha msingi wagombea wote wajihadhari kutoa na kupokea vizawadi visivyo na msingi.
 
Kesi ya kitumbafu kabisa hii.

Rais alikuwa kwenye majukumu yake ya kila siku, Bado NEC haijampitisha kama mgombea kwa nafasi ya Urais, Bado kampeni hazijaanza Rasmi.
Yapo maeneo ya majukumu yake ya kila siku hayamruhusu kuyafanya kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu
 
Lissu bwana kama mwanamke


Mwanamke anaweza akapigwa risasi vile na bado akarudi Tena kwa ujasiri?? Kuna mwanamke wa hivyoo kwelii?

Hivi Babu yako lowasa alivyokuwa anaambiwa na msukuma kua alijiarishia kweli CCM Haina maadili. unawezaje kumwambia mzee Kama yule kajiharishia? Ata Kama Ni kweli yule Ni sawa na mzazi wake. CCM hamna adabu.
 
Lissu akiwa raisi atahakikisha anatawala miaka 50 ili ahakikishe CCM imekufa kabisa kama CUF, NCCR, maana hasira alizo nazo akishinda anafuta uchaguzi na katiba anabadilisha
 
Rais Lissu yupo sahihi. Magufuli aache kutoa rushwa kutafuta huruma ya wananchi tuliomchoka.
 
Kesi ya kitumbafu kabisa hii.

Rais alikuwa kwenye majukumu yake ya kila siku, Bado NEC haijampitisha kama mgombea kwa nafasi ya Urais, Bado kampeni hazijaanza Rasmi.
Katika majukumu ya rais la kugawa hela halipo zaidi ya Magufuli sijawahi ona rais anagawa pesa hadharani,hoja ya Kwanza hiyo lakini ya pili,ni wakati gani unamtenganisha Magufuli Kama rais na wakati gani unamtenganisha Magufuli na mgombea wa CCM baada ya kuteuliwa na chama chake pale Dodoma?
 
Kama huwezi tenganisha hayo, mkuu nakushauri achana na hii mada.
 
Kesi ya kitumbafu kabisa hii.

Rais alikuwa kwenye majukumu yake ya kila siku, Bado NEC haijampitisha kama mgombea kwa nafasi ya Urais, Bado kampeni hazijaanza Rasmi.
Lakini ndiye mgombea wa CCM
 
lissu ugonjwa haujamuisha ni kichaa kamili sasa
 
Wenye akili walimuelewa JPM kuhusu mizizi iliyojichimbia chini zaidi.

Tundu Lissu anatengeneza wahanga wa maandamano ili kesi ziwe nyingi baada ya uchaguzi mradi wa kesi wa viongozi wa chama usife. Msikilize jinsi anavyo jisifia kuwa ni mwanasheria anaye ogopwa na polisi, mahakama. Kwa maneno mengine anawahadaa wafanye lolote atawatetea kwenye kesi watazofunguliwa.

Cdm wakiweka matumizi ya chama wazi angalia kipengele cha gharama ya kuendesha kesi.
 
Mnawezaje kumwambia Dr mihogo mzizi ata kama ni mzizi MIchadema haina akili ...ukitaka kujua hilo angalia wanavomshangilia chizi kichaa Lissu, utakuta wanaongea ati wazungu wazungu yani wao wazungu wamewaona ni Miungu michadema ni mzigo wa polo la kinyesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…