Tundu Lissu: Rais Samia aamue kubaki na picha au kubakiza furaha Kwa Wananchi

Nani anataka Mikutano ya kisiasa, bado anaishi dunia ya 90s, watu wanarundikana kusikiliza uongo wa wanasiasa siku hizi vijana hawana huo muda wanatafuta mijihela tu pia Corona ipo kila Pembe.
 
Kwahiyo aingilie uhuru wa Mahakama.
Swala la Passport nalo ni issue ya kumwambia rais ? Hata kamishina wa uhamiaji angemuambia awaone vijana wake.
Naungana na askofu Bagonza iko issue kwa kichwa huyu.


Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
KInyeo chako kinawasha
 

Lissu is naturally arrogant, huwezi tumia lugha hiyo kuongea na Mh. Rais yeyote yule..

Huwezi mlazimisha Mh. Rais afanye anayotaka Lissu. By the way who is Lissu?

1: Mikutano ya kisiasa kabla ya muda wa kampeni hilo halipo milele, ataozea jela Lissu, na Lissu alivyomuoga atakimbia nchi hata kabla hajakamatwa.

2: Katiba Mpya, sio kitu cha kukurupuka na kuanza, ina mambo mengi, mojawapo ni fedha, na kama haipo katika priority Mh. Rais huwezi kum force afanye.

3: Eti amuachie Mbowe, kwani Mbowe kakamatwa na Mh. Rais? Makosa ya Mbowe ni kabla hata Mh. Samia hajawa Rais wa nchi yetu. Hivi nyie watu mnaelewa au kazi kupiga kelele tu. Kesi mnasikiliza, mashtaka ya Mbowe ni kabla hata Samia hajawa Rais, sasa Samia amuachie kwa lipi?
 
Tatizo lenu Machangu doa
 
Lisu ni mbobezi katika sheria, je unaamini kwamba hakufuata utaratibu wakuomba passport mpya kabla hajakutana na rais?
Au ulitaka awe anasema ni jinsi gani uhamiaji wanasita kumsaidia tangia passport yake ilipoibiwa? Hakika mngekuja juu nakusema ameishiwa analalamikia petty issues. Mambo yote waliyoyajadiri ndani ya lisaa limoja ni misumari ya moto kwa walamba matumbo
 
Markel hakuingilia mahakama kufuta kesi… labda Joyce Banda alifanya hivyo

Samia will be markel on this one for sure
kesi hii ya kipumbavu isingepata nafasi hata ya kusikilizwa na mahakama
 
kwa ushahidi ule kesi haipo so ilikua sahihi mbowe aachiwe
 
Ukweli ndio huo Samia aamue kusuka au kunyoa, alichofanya Lissu kwenye mazungumzo yao kumuomba hiki na kile ni kumpa heshima kama mkuu wa nchi, kama akiikataa heshima aliyopewa Lissu atafanya anachostahili sababu ni haki yake hajavunja sheria yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…