Tundu Lissu: Rais Samia aamue kubaki na picha au kubakiza furaha Kwa Wananchi

Ovyoo mtu mzima ovyooo
 
Mimi niko humu leo kuhesabu idadi ya wajinga waliomo humu na wewe ni wa 7 wanaofikiria kwamba rais ni Mungu na hata Magufuli alifikiri hivyo hivyo na Mungu akasema, huu ni ujinga, akamuondoa duniani.

Huyo rais angekuwa kama unavyomfikiria hivyo asingekuwa anakuja kwa wananchi kuomba wampatie hiyo fursa ya kuwa huyo mnayemwita rais.

Tundu Lissu ameelezea msimamo wake na wa chama chake sasa kosa lake nini. Tatizo lenu mmeshazoea wote kujipendekeza ili mpatiwe namna ya kuganga njaa lakini wakati mkiganga njaa lazima muelewe kwamba wote hawawezi kuwa wachumia tumbo kama nyie.
 
Raisi Samia tupe raha Wananchi wako kwa kumuachia Mwamba.
 
1: Mikutano ya kisiasa kabla ya muda wa kampeni hilo halipo milele, ataozea jela Lissu, na Lissu alivyomuoga atakimbia nchi hata kabla hajakamatwa.
Kwaivo umeshakuwa Mama ghafla mara hii?
 
Mbona anaogopa kurudi sasa?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mimi sijui kama anaogopa kurudi. Ila nimeelewa amesema akihakikishiwa usalama atarudi, na hata asipohakikishiwa usalama atarudi, na ikitokea ajadhuriwa basi nature will take its course.
Sasa kama anaogopa kurudi ama lah, hilo mimi siwezi kulizungumzia
 
Nani anataka Mikutano ya kisiasa, bado anaishi dunia ya 90s, watu wanarundikana kusikiliza uongo wa wanasiasa siku hizi vijana hawana huo muda wanatafuta mijihela tu pia Corona ipo kila Pembe.
Kama wewe hutaki si wewe.kwanini uwasemee wengine.Alafu nyie mnaojifanyaga hamnazo ndo mnakuaga wakwanza kulalama mambo yanapokua ndivyo sivyo.Kelele za siasa ni muhimu sana ili kuwaamsha watawala.Kila mtu akisema akae kimya unadhani nchi itakuaje.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Para ya mwisho ina maanisha nini kusema "hata dunia ipige kelele hatashughuliwa". Mimi imenichanganya.
 
Kuna watu kwenye nchi hii wanamwona rais kama ndo mungu mtu yaani kila kitu raisi wakati rais nae huwa anakosea na ni binadamu tu, rais nae ni mtumishi tu wa wananchi anapokosea lazima aambiwe directly
 
We mala.ya takataka,mikutano wanayofanya CCM nchi nzima ni kipindi cha kampeni hiki?
unaongea kama unasukumiwa kitu kigumu.
 
Kwa hiyo mwanasheria anayesifiwa, anataka rais aingilie maamuzi ya mahakama? He must be rubbish!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…