Tundu Lissu: Rais Samia anaendeleza ukatili wa Hayati Magufuli kwa kukamata Wakosoaji wa Mkataba wa DP World

The Great Politician of all times has finally said something.

The International Community must intervene before it is too late.
International community iko bize na Niger...Tz issues are insignificant kwao.

Besides kwa wazungu ujio wa DP world is an opportunity to do business, most of the senior staff watakuwa wazungu. Kadhalika wakati mwarabu anatoa finance, wazungu watatoa technology and human resources.

Forget about mzungu kuingilia kati issues za kibiashara kama hizo.
 
[emoji116]

---

Leo August 12, 2023 Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuhusu kukamatwa kwa Mdude Nyagali na Wakili Mwabukusi. Katika kutoa maoni yake kuhusu jambo hilo ameandika:

Bonnie Mwabukusi, lawyer & critic of President Samia's handover of all of Tanzania's ports to DP World, has been detained with two other critics.

They're being held incommunicado in Mbeya. Samia has reneged on her vow to ditch Magufuli's brutal legacy. She'd be held accountable!

Mdude Nyagali alifungwa & kuteswa kwenye magereza & mahabusu za Magufuli. Emmanuel Masonga naye alifungwa & kuteswa kwenye magereza ya Magufuli.

Sasa mashujaa hawa ni wafungwa kwenye mahabusu za Samia. Magufuli na ukatili wake alishindwa; na Samia na ukatili wake naye atashindwa!
Hautapita muda, mama mzururaji hataonekana kwenye mataifa ya wazungu. Safari zake zitaishia Uarabuni, China na Urusi. Hatagusa mataifa ya watu wastaarabu. Na muda siyo mrefu, mama mikopo hataweza kupata mkopo wala msaada toka kwa mataifa wastaarabu.

Wazungu hawapendi mtu mnafiki na dikteta wa kujificha.
 
👇

---

Leo August 12, 2023 Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuhusu kukamatwa kwa Mdude Nyagali na Wakili Mwabukusi. Katika kutoa maoni yake kuhusu jambo hilo ameandika:

Bonnie Mwabukusi, lawyer & critic of President Samia's handover of all of Tanzania's ports to DP World, has been detained with two other critics.

They're being held incommunicado in Mbeya. Samia has reneged on her vow to ditch Magufuli's brutal legacy. She'd be held accountable!

Mdude Nyagali alifungwa & kuteswa kwenye magereza & mahabusu za Magufuli. Emmanuel Masonga naye alifungwa & kuteswa kwenye magereza ya Magufuli.

Sasa mashujaa hawa ni wafungwa kwenye mahabusu za Samia. Magufuli na ukatili wake alishindwa; na Samia na ukatili wake naye atashindwa!
Ashindwe!
 
Back
Top Bottom