The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kwendraaaa huko. Jiteteeni kwa hoja siyo kutisha watuHuyu Lissu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwendraaaa huko. Jiteteeni kwa hoja siyo kutisha watuHuyu Lissu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania.
Huyu binadamu ni kama popo. Hajulikani kama ni ndege au mnyama. Tundu Lissu hana msimamo. Juzi juzi alisema anaenda kaburini kwa JPM Kisha amwambie aamke aone anayoyafanya mrithi wake. Kabla jogoo hajawiki tayari kamkana JPM[emoji116]View attachment 2715661
Acha kutusemea sisi wengine tunamuunga mkono Mh. Rais suala la uboreshaji wa bandari.Mimi naona wahafidhina wa CCM wanalitumia jeshi la polisi kummaliza Samia. Hatua hii ni sawa na kutia chumvi kwenye kidonda kwani sakata la DP World limewachukiza Watanganyika wengi sana.
alikua anawajaza upepo mataga.Huyu binadamu ni kama popo. Hajulikani kama ni ndege au mnyama. Tundu Lissu hana msimamo. Juzi juzi alisema anaenda kaburini kwa JPM Kisha amwambie aamke aone anayoyafanya mrithi wake. Kabla jogoo hajawiki tayari kamkana JPM
Kwani anasema uwongo?Upumbavu wa lissu ni kumuhusisha na kutajataja jina la jpm kana vile yuhai na ndio rais aliyopo madarakani.
Tundullisu huwa anachuki sana Sana JPM hivi ukatili wa Mkapa, Kikwetu hakuuona mpaka JPM awe case study ya kila kitu kha![emoji116]View attachment 2715661
International community iko bize na Niger...Tz issues are insignificant kwao.The Great Politician of all times has finally said something.
The International Community must intervene before it is too late.
Hautapita muda, mama mzururaji hataonekana kwenye mataifa ya wazungu. Safari zake zitaishia Uarabuni, China na Urusi. Hatagusa mataifa ya watu wastaarabu. Na muda siyo mrefu, mama mikopo hataweza kupata mkopo wala msaada toka kwa mataifa wastaarabu.[emoji116]
---
Leo August 12, 2023 Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuhusu kukamatwa kwa Mdude Nyagali na Wakili Mwabukusi. Katika kutoa maoni yake kuhusu jambo hilo ameandika:
Bonnie Mwabukusi, lawyer & critic of President Samia's handover of all of Tanzania's ports to DP World, has been detained with two other critics.
They're being held incommunicado in Mbeya. Samia has reneged on her vow to ditch Magufuli's brutal legacy. She'd be held accountable!
Mdude Nyagali alifungwa & kuteswa kwenye magereza & mahabusu za Magufuli. Emmanuel Masonga naye alifungwa & kuteswa kwenye magereza ya Magufuli.
Sasa mashujaa hawa ni wafungwa kwenye mahabusu za Samia. Magufuli na ukatili wake alishindwa; na Samia na ukatili wake naye atashindwa!
Huyu Lissu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania.
Wewe unaitakia mema Tanzania ipi?Huyu Lissu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania.
Acha kuchukia ug'eg'e sababu ya upumbavu wakoKwa hiyo ukiandika kwa Kiingereza ndio unafikiri utaeleweka vizuri sio? Upuuzi mtupu.
Huyu ni mpuuziKwendraaaa huko. Jiteteeni kwa hoja siyo kutisha watu
Ndio nini?Haya maigizo yataisha na nchi itabaki salama.
Ufisadi?Kazi iendelee
Ashindwe!👇
---
Leo August 12, 2023 Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuhusu kukamatwa kwa Mdude Nyagali na Wakili Mwabukusi. Katika kutoa maoni yake kuhusu jambo hilo ameandika:
Bonnie Mwabukusi, lawyer & critic of President Samia's handover of all of Tanzania's ports to DP World, has been detained with two other critics.
They're being held incommunicado in Mbeya. Samia has reneged on her vow to ditch Magufuli's brutal legacy. She'd be held accountable!
Mdude Nyagali alifungwa & kuteswa kwenye magereza & mahabusu za Magufuli. Emmanuel Masonga naye alifungwa & kuteswa kwenye magereza ya Magufuli.
Sasa mashujaa hawa ni wafungwa kwenye mahabusu za Samia. Magufuli na ukatili wake alishindwa; na Samia na ukatili wake naye atashindwa!
Huna pointHuyu Lissu na yeye asiwachiwe, ni lazima anatumiwa na wasiyoitakia mema Tanzania.
Huyu Tundu Lissu ni hatari sana kwa usalama wa Tanzania kwanini Serikali inamruhusu mkimbizi anayeishi Belgium kufanya siasa hapa TanzaniaUnder cover Totalitarian state.