S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Sep 25, 2022 #21 Mama ni mzigo,
DENG XIAOPING JF-Expert Member Joined Mar 6, 2022 Posts 2,396 Reaction score 2,598 Sep 25, 2022 #22 Tundu Antipas Lissu ana nifurahisha 😁 mara amtee mate Mwalimu mara amsafishe, haeleweki ana simama upande upi kuhusu Mwalimu.
Tundu Antipas Lissu ana nifurahisha 😁 mara amtee mate Mwalimu mara amsafishe, haeleweki ana simama upande upi kuhusu Mwalimu.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Sep 25, 2022 #23 Samia hana ubavu huo, kama angekuwa nao alitakiwa aanze mapema na waziri wa mambo ya ndani kwa polisi kuwaua watuhumiwa wanaodhaniwa ni panyarodi.
Samia hana ubavu huo, kama angekuwa nao alitakiwa aanze mapema na waziri wa mambo ya ndani kwa polisi kuwaua watuhumiwa wanaodhaniwa ni panyarodi.
F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 10,448 Reaction score 8,705 Sep 25, 2022 #24 kmbwembwe said: Lissu anatumwa ndio maana hadi anaunga mkono ushoga. Sasa anataka rais afukuze mawaziri wake kwa maai ya uongo tu. Click to expand... Mashoga wamekufanya nini? Maana lazima uwalalamikie. Amandla...
kmbwembwe said: Lissu anatumwa ndio maana hadi anaunga mkono ushoga. Sasa anataka rais afukuze mawaziri wake kwa maai ya uongo tu. Click to expand... Mashoga wamekufanya nini? Maana lazima uwalalamikie. Amandla...
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Sep 25, 2022 #25 Countrywide said: Na wewe ungekuwa Nani? Nyambaffff zako, mna kazi ya kumpangia raisi kuwaondoa wale ambao hamuwapendi kwa sababu zenu za kipumbavu. Raisi sio mjinga Click to expand... Duuh! Mkuu mbinw matusi ni mengi halafu hoja kiduchu kama uduvi?
Countrywide said: Na wewe ungekuwa Nani? Nyambaffff zako, mna kazi ya kumpangia raisi kuwaondoa wale ambao hamuwapendi kwa sababu zenu za kipumbavu. Raisi sio mjinga Click to expand... Duuh! Mkuu mbinw matusi ni mengi halafu hoja kiduchu kama uduvi?