Tofauti ni kuwa yule wa Eswati hadanganyi watu kwa sanduku la kura pia anaejengewa hekalu la kuishi kwa kodi za wananchi ni mmoja tu.Hhahhahahahahaha! Tanzania weeee Nchi yangu hooooo! Kumbe Tzee na hapo E-swati hakuna tofauti kabisa!
Kumbe Samia kanajisi bunge, unashauri nini kifanyike sasa.Mbona Lema na genge lake wanashangilia Samia kunajisi bunge?
Lema anafurahia Ndungai aliye nyanyasa wabunge wa Upinzani bungeni leo ni mbunge wa kawaida lakini hafurahii mhimili kuvunjwa nguvu.Mbona Lema na genge lake wanashangilia Samia kunajisi bunge?
Lissu bana!"Kulazimishwa kwa Spika Ndugai kujiuzulu kunathibitisha wazi kabisa kile ambacho tumekisema kwa miaka mingi, kwamba kwa mfumo wetu wa kikatiba na kiutawala tuna muhimili mmoja tu wa dola na muhimili huo unaitwa Rais." Mhe. @TunduALissu.
"Kwa miaka 60 ya uhuru tangu 1962 utaratibu wa Mihimili mikuu 3 inayothibitiana imevurugwa kwa maana kwamba Rais amekuwa na madaraka makubwa sana. Rais wetu ni Rais wa kifalme, mamlaka yake hayana udhibiti, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu." Lissu
Akiwa mbunge wa kawaida ana kosa nini?Lema anafurahia Ndungai aliye nyanya said wabunge wa Upinzani bungeni leo ni mbunge wa kawaida lakini hafurahii mhimili kuvunjwa nguvu.
Tungeungana na Ndugai!Kumbe Samia kanajisi bunge, unashauri nini kifanyike sasa.
Kumbe Samia kanajisi bunge, unashauri nini kifanyike sasa.
Tungeungana na Ndugai!
.
Lakini sasa ni too late subirini 2025
Vipi JK nae si akinajisi maisha ya watu? Au yeye mnamfanyaje?Bora kunajisi bunge alikokufanya Samia.
Kuliko kunajisi maisha ya watu.
Haya ya Samia tunaweza kuja kuyabadilisha
Vipi hayo ya kunajisi maisha ya watu?
Hii NI the return of sobibor.
Kila aliyehusika na DHULMA tutampitia
Iwe direct au indirect
KARMA IS REAL
Wakati hayo yanafanyika yeye Samia alikuwa wapi?Bora kunajisi bunge alikokufanya Samia.
Kuliko kunajisi maisha ya watu.
Haya ya Samia tunaweza kuja kuyabadilisha
Vipi hayo ya kunajisi maisha ya watu?
Hii NI the return of sobibor.
Kila aliyehusika na DHULMA tutampitia
Iwe direct au indirect
KARMA IS REAL
Vipi JK nae si akinajisi maisha ya watu? Au yeye mnamfanyaje?
Lissu bana!
Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.
Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?
Awkward!