zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,644
- 3,176
Ni kweli ndiyo maana nkatangulia mapema kutoa angalizo kwamba kwa Magu pengine hatutaweza kukubaliana.Kwanza umedeclare kua wewe ni shabiki namba moja wa Magu, hivyo si rahisi wewe kukubali kua huyo raisi wako alikosea mahala. Ni mbaya sana hii kumuelimisha mtu ambaye tayari ana majibu yake asiyotaka yabadilishwe.
Hoja sio dhaifu mkuu na hapo hao nimetaja wachache mno, kiufupi uongozi uliopita ulikua unafanya kazi kwa mihemko kupita kiasi. PM aliepita ambaye ndo huyuhuyu ila ni kama tofauti(sijui umeelewa).
Kubali kataa Magu kuna mambo alikua anafanya nje ya katiba, hakuacha wizara zifanye kazi yake( huku kwetu tunawaita kina kajua yote). Ila kwakua wewe ni shabiki huwezi kuona hayo, utatetea hata madudu.
Hata hivyo naheshimu mtazamo wako na najua kuwa hakuna Rais, si Nyerere hadi Samia, atakayeweza kuwaridhisha watu wote. Na ndio mantiki ya Rais kupewa kinga ya kutoshtakiwa kwa yale aliyoyatekeleza akiwa madarakani.