Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

umemsikia Samia akilaani yaliyotokea awamu ya 5.?
au umemsikia majaliwa akilaani yaliyotokea awamu ya 5?
Au umemsikia bashiru akilaani yaliyotokea awamu ya 5?
wanajua wao walikuwa sehemu yake ndo maana wamekaa kimya.
Sasa mbona unawashabikia na kusema wao ni afadhali?
 
Nyerere ambaye ni muasisi uliyemtaja aliona hili na akaonya kuwa Katiba hii imempa mamlaka makubwa mno Rais!Tukimpata Rais akayatumia madaraka yake vibaya basi itakuwa majanga Kwa taifa!

So acha kulopoka bila kujua unachokiongea!
 
Kama NDUGAI alikuwa spika wa bunge awamu ya 5.
Watu waliteswa kupigwa kufilisiwa kutekwa kuuliwa alikaa kimya.
Leo mikopo ya Samia ndo imuumize?
DHULMA iliyofanywa awamu ya 5 alikuwa wapi?
Ndo maana nakwambia UNAOTA WEWE.
Ndugai anajitoa vipi?
Kwenye DHULMA?
Mbona hakuhoji mikopo ya magufuli?
Sasa mbona unawashabikia na kusema wao ni afadhali?
 
Uhuru ni tangu 1962? Au ni Jamhuri...

Lissu ni mbabaishshaji na mpayukaji tu, wenye akili timamu wanampotezea tu
Katiba ya Jamhuri ya 1962 ndiyo ilitengeneza Urais tulio nao leo (Imperial Presidency)

Ilikuwa ni baada ya Nyerere kulazimishwa kujiuzuru Uwaziri Mkuu kwa habari ya Afrikanization.
 
Mbona Lema na genge lake wanashangilia Samia kunajisi bunge?
Ndugai ameonjeshwa ladha ya dawa aliyoshiriki kuisambaza, amezoea kunajisi uhuru wa watu kutoa maoni hivyo watu kuchekelea yaliyomkuta ni sawa kabisa.
Kwanza hakuwa upande unao support katiba mpya ambayo uhuru(kutoingiliwa) wa mihimili ungewekwa dhahiri shahiri na haya yaliyomkuta yasingewezekana, wanaoshangilia wako sahihi kabisa. Bunge si huru hivyo hakuna maajabu katika yaliyotokea.
 
Yamelikuta siyo Ndugai!..

Kwani Ndugai ana hasara gani? Ila vipi kuhusu bunge?
 
Vipi Samia yeye anajitoa vipi?

Uchawa hautakusaidia
 
Lisu anionyeshe sehemu ambapo spika anayetoka na Democrat au Republican amewahi kuwa mpinzani wa serikali ya chama Chao..

Kama hili linawezekana inakuwa hakuna maana ya kuwa na majority.
 
Unahangaika kumjibu mpumbavu asiye hata na punje ya akili, you're just wasting your energy.
 
Lema anafurahia Ndungai aliye nyanya said wabunge wa Upinzani bungeni leo ni mbunge wa kawaida lakini hafurahii mhimili kuvunjwa nguvu.


lema ni binaadam dhaifu sana,akumbushwe katiba inasemaje kuhusu cheo cha spika wa bunge baada ya kustaafu.

naona jana kamtabiria kifo[emoji1787][emoji1787]

hii sio sifa ya vijana wa arusha,ana maumivu kama mtoto wa kike.
 
View attachment 2071924
lema ni binaadam dhaifu sana,akumbushwe katiba inasemaje kuhusu cheo cha spika wa bunge baada ya kustaafu.

naona jana kamtabiria kifo[emoji1787][emoji1787]

hii sio sifa ya vijana wa arusha,ana maumivu kama mtoto wa kike.
These are material things dear, Lema is fighting for bigger things that money can’t buy.
 
So Ndugai ni ng'ombe.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Anachomaanisha Lissu hapa ni kwamba mhimili mmoja haupaswi kupigia magoti mhimili mwingine; in case unahitaji PhD ili kujua alikuwa anamaanisha nini.
 
Mfalme kuwa na madaraka makubwa ndiyo ilipelekea mageuzi ya kisiasa Ulaya miaka ya 1890 kuendelea na wawekezaji wengi walikimbilia Marekani kuepuka a na kero za Wafalme.
Now wanaachana na ile dhana ya rais dikteta to rais ni mfalme 😂 ahahhaaa Afrika bana!.
 
Uhuru ni tangu 1962? Au ni Jamhuri...

Lissu ni mbabaishshaji na mpayukaji tu, wenye akili timamu wanampotezea tu
Yupo sahihi maana Nchi ilipata uhuru 1961 na kuwa jamhuri 1962.Mwaka 1961 mkuu wa nchi alikua Malikia Elizabeth wa 2 na waziri mkuu wa Tanganyika alikua Mwalimu Nyerere lakini mwaka 1962 tulivokua jamhuri Rais akawa Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…